Mrisho Gambo: Lema ni zumbukuku

Kulwa Jilala

JF-Expert Member
Sep 6, 2022
3,510
7,755
Mbunge wa Arusha mjini Mh Mrisho Gambo amemshukia kama mwewe Godbless Lema kwa kitendo chake cha kutukana bodaboda, mamalishe na machinga wote kwa kumuita ni zumbukuku asiyejua kipi cha kuongea na kipi asiongee mbele ya jamii.

Gambo amesema kuwa Lema amelewa hela za kupewa na mabeberu kwa hadhi ya ukimbizi wake feki.
 
Mbunge wa Arusha mjini Mh Mrisho Gambo amemshukia kama mwewe Godbless Lema kwa kitendo chake cha kutukana bodaboda, mamalishe na machinga wote kwa kumuita ni zumbukuku asiyejua kipi cha kuongea na kipi asiongee mbele ya jamii.
Gambo amesema kuwa Lema amelewa hela za kupewa hela na mabeberu kwa hadhi ya ukimbizi wake feki.
Kati ya kuendesha bodabida na wizi wa magari ipi ni kazi ya laana?
 
Mbunge wa Arusha mjini Mh Mrisho Gambo amemshukia kama mwewe Godbless Lema kwa kitendo chake cha kutukana bodaboda, mamalishe na machinga wote kwa kumuita ni zumbukuku asiyejua kipi cha kuongea na kipi asiongee mbele ya jamii.
Gambo amesema kuwa Lema amelewa hela za kupewa hela na mabeberu kwa hadhi ya ukimbizi wake feki.
Mrisho gambo anajua kabisa miaka michache ijayo sio tena mbunge wa Arusha.
 
Mh Mbunge ungepunguza KULALAMA na tumia muda wako mwingi kutatua kero za wapiga kura wako.

Moja ya kero ni hii barabara ya Kijenge- Mwanama -Engutoto..barabara hii imaliziwe kuwekewa lami toka hapo Mwanama Kona hadi huku Viwandani Engutoto kwani imekuwa chanzo cha kukosekana kwa magari mazuri na imara kwa ajili ya abiria waishio kata hii ya Oleriani..

Ni jambo la kawaida kabisa kwa muda wa asubuhi na jioni abiria kukaa vituoni saa 1-2 wakisubiri gari..Hii imekuwa ikisababisha watu kuchelewa maofisini,wanafunzi kuchelewa mashuleni na wagonjwa kuchelewa hospitalini

Pia inasababisha kuongezeka kwa gharama za USAFIRI kwa wananchi, ambapo baadhi huamua kupanda bodaboda hadi njia ya MOSHONO-MJINI ilikupata usafiri ambapo huwalazimu kulipa zaidi ya Tsh 1500/=

Mwisho, njia hii ya Kijenge - Mwanama- Engutoto ndio njia pekee ambayo hizi Bajaj zinazuiwa kutoa HUDUMA kwa wananchi licha ya changamoto ya ukosefu wa vihiace..kuna WAHUNI wameanzisha serikali yao,kazi yao ni kuwazuia waendeaha Bajaji wote wanaopita njia hii..wanabarrier yao hapa Darajani mita chache toka lilipo TAWI la CRDB Kijenge
Nikuombe dhibiti WAHUNI hawa ili Bajaj ziweza hudumia wananchi wa ukanda huu wanaoteseka na huduma mbovu kabisa ya usafiri

Mwisho kabisa..kwanini lami ya njia ya PEPSI -PPF Kijenge -Mwanama kona iliishia ndani ya hizo nyumba za PPF Kijenge..hawa wananchi wanaokaa mbele huku hadi kilipo Kituo cha Afya MOSHONO wao ndio hawastahili kupata huduma ya LAMI?..
 
Hata kukemea mazumbukuku yanayopotosha jamii kama Lema nayo ni kazi ya Gambo
 
Huwezi kuwaweza Cdm kwa hadithi zako kutunga. Lema alieleza ukweli juu ya bodaboda na visakosi. Wewe kalia ujinga wako.

Enzi zetu za kanda ya ziwa zimepita. Bahati mbaya umebaki usingizini . Mama mwenyewe amewakubali. Wewe ni nani mpaka ukereke ?!
 
Mbunge wa Arusha mjini Mh Mrisho Gambo amemshukia kama mwewe Godbless Lema kwa kitendo chake cha kutukana bodaboda, mamalishe na machinga wote kwa kumuita ni zumbukuku asiyejua kipi cha kuongea na kipi asiongee mbele ya jamii.
Gambo amesema kuwa Lema amelewa hela za kupewa hela na mabeberu kwa hadhi ya ukimbizi wake feki.
Sasa wanaojua cha kuongea mbona ndio wanao tudidimiza kwenye bodaboda na mama lishe🏃🏃
 
Mbunge wa Arusha mjini Mh Mrisho Gambo amemshukia kama mwewe Godbless Lema kwa kitendo chake cha kutukana bodaboda, mamalishe na machinga wote kwa kumuita ni zumbukuku asiyejua kipi cha kuongea na kipi asiongee mbele ya jamii.
Gambo amesema kuwa Lema amelewa hela za kupewa hela na mabeberu kwa hadhi ya ukimbizi wake feki.
Huu uzi ni wa walinda legacy lkn ntatoa neno moja...2025 inakuja na itajulikana tu nan ni nan. Maana hakutakua tena na amri mara namtaka fulani au nireteeeenii gwajimaaaa nireteeeenii gwajimaaaa nireteeeenii gwajimaaaa!!
 
Mbunge wa Arusha mjini Mh Mrisho Gambo amemshukia kama mwewe Godbless Lema kwa kitendo chake cha kutukana bodaboda, mamalishe na machinga wote kwa kumuita ni zumbukuku asiyejua kipi cha kuongea na kipi asiongee mbele ya jamii.
Gambo amesema kuwa Lema amelewa hela za kupewa hela na mabeberu kwa hadhi ya ukimbizi wake feki.
Ukiwa mjinga hata ukipewa mafuta ya nyonyo ukaambiwa yatakufikisha peponi utatoa sadaka iliyonona. Bodaboda si kazi ya kudumu na haina tija kwako wala kwa taifa. Tatizo vijeba vya CCM vinazitumia kuwazubaisha vijana wajione wana ajira.
 
Lema ametoa mbadala gani kwa bodaboda? Au kuwatukana ndiyo solution?
 
Back
Top Bottom