Aliyetajwa kujichomeka kwenye msafara wa Mrisho Gambo ni nani?

Nyankuru Wankuru

JF-Expert Member
Apr 22, 2018
1,199
1,346
Tazameni hiyo screenshot vizuri ili kumtambua aliyetajwa kuwa ni tapeli na kujichomeka kwenye msafara wa gambo ni nani na alikuwa na lengo gani?. Na mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama wa mkoa (mrisho gambo) amechukua hatua gani mara baada ya kugundua kuwa ni tapeli.
Screenshot_20190612-204927.jpeg
 
Nasubiri!huenda 'comments'nyingine zitanisaidia kuelewa ulichoandika.
 
Tazameni hiyo screenshot vizuri ili kumtambua aliyetajwa kuwa ni tapeli na kujichomeka kwenye msafara wa gambo ni nani na alikuwa na lengo gani?. Na mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama wa mkoa (mrisho gambo) amechukua hatua gani mara baada ya kugundua kuwa ni tapeli.View attachment 1125833
Kama ameweza kujichomeka katikati ya wajeda basi huyo mtu ni hatari sana!
 
Huyu aliokotwa wapi? Kalamaganda kabugi aliokotwa jalalani.

Tazameni hiyo screenshot vizuri ili kumtambua aliyetajwa kuwa ni tapeli na kujichomeka kwenye msafara wa gambo ni nani na alikuwa na lengo gani?. Na mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama wa mkoa (mrisho gambo) amechukua hatua gani mara baada ya kugundua kuwa ni tapeli.View attachment 1125833
 
Jamaa namjua kitambo alikuwa anaishi jirani na home, alikuwaga fundi wa POSTA na SIMU miaka hiyo landlines zinavuma bdae akasimamishwa kazi 1990s lkn akawa bado anatapeli hela za watu mitaani akijifanya ni fundi wa POSTA na SIMU, alikuwaga kama kachanganyikiwa fulani hivi baada ya kufukuzwa kazi
 
Inamaana wakati wapo live hakujua kama ni tapeli...? Je kama ni mtu hatari si angekua kashamzulu..?

Na hapo kaenda kukagua mradi akiwa na kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa lakini kuna mtu kajipenyeza na hawajamtambua kweli bongo kuna wapambe na sio wanausalama....
 
Gambo sijui anatumia kilevi kilicho tengenezwa na malighafi gani aisee.... Jamaa kajichomeka na maaskari wapo tu hapo?
 
Tuweke chuki dhidi ya gambo pembeni na tujadiri uyo mtu. Insweza kuwa kuna tatizo some where na linahitaji critical discussion.

Huyu mtu kajiandaa kabisa ili awe pale na kafanikisha mission yake. Na hii sio yeye tu wapo watu mjini hapa wana hii tabia. Wanapenda kupiga picha na watu wakubwa ili watumie kama fursa kutapeli watu.

Ni kama wale wa Qnet walivyotumia picha za wazir kutapeli watu.
 
Back
Top Bottom