Aliyetajwa kujichomeka kwenye msafara wa Mrisho Gambo ni nani?

Ndiyo wale wale wa kuendelea kumfagilia huyu nduli ambaye ni janga kubwa la Taifa. Siku ukijaaliwa kutia akili kichwani labda utaelewa.



Sikushangai, kauli za JPM huwa mnazitafsiri kwa mitazamo yenu ambayo imekaa negative

Aliposema anataka matajiri waishi kama mashetani hii kauli ilikuwa ni fumbo, na aliwalenga watu fulani ambao walikuwa ni mchwa wa taifa wa kuiba kunyang'anya na kudhulumu rasilimali za nchi mfano mdogo kama unavyowaona Ndugu Rugemalila na mwenzake Singasinga... hii ndio mfano halisi au nia madhubuti ya mh JPM lakini ww umekalia kukariri tu na kuwehuka na mihemko ya kisiasa.

Swala la korosho lilikuwa linamuumiza sana Mh JPM kwa kuona wakulima wakinyonywa na watu baki baadhi yenu nyinyi wanasiasa na wao kubakia katika lindi la umaskini kila kukicha na ndomana akajaribu njia nyingine ya kufanya marketing ya hizo korosho. Mi nina imani pene nia pana njia hata kama changamoto zimejitokeza msimu ujao ataweka kilakitu sawa kupitia chamgamoto alizoziona kwa sasa na kila kitu kitakwenda sawa.

Hao wengine waliopotea kufa au kutekwa ni maswala ya kiusalama na kinidhamu, kwa mfano huwezi kumtukana Mh Rais kwa kumfananisha na Malaya halafu utegemee utazamwe tu kama alivyofanya mtu wenu Mdude... hakuna nchi ya kijamaa utaweza kufanya huo utumbo halafu mamlaka zikakutazama tu. Mtu anajitoa usiku na mchana kwasababu yenu halafu unamtukana na kumdhalilisha shame on him.

Kwa kifupi upinzani bado haujapevuka kuweza kuendesha hii nchi kabisa... hakuna watu makini wala wenye nia njema na hii nchi wote mmejaa tamaa na nia ya kuitafuna na ndomana mnaonekana hata kabla hamjapewa madaraka
 
Ndiyo wale wale wa kuendelea kumfagilia huyu nduli ambaye ni janga kubwa la Taifa. Siku ukijaaliwa kutia akili kichwani labda utaelewa.

Unaona sasa umeamini kwamba ww hauwezi kubishana kwa hoja...

Unakimbilia kumshambulia mtu binafsi badala ya kushambulia hoja zake...

Hapa ndipo panaponitia wasiwasi kila ninapomuona mtu wa upinzani, najaribu kupima kama ataweza hata kuishugulisha brain yake
 
Acha upuuzi wako kuna chuki zaidi ya kuua Watanzania wasio na hatia na wengine kubambikiwa kesi kila kukicha? Taifa ndani ya utawala wa CCM kwa miaka 60 nini kilichojengeka cha kujivunia nchini? Tia akili kichwani. Huwezi ukatia hamasa wakati huyo mwendawazimu anaivuruga nchi kila kukicha.
Mwambie huyooooo
 
  • Thanks
Reactions: BAK

Usishangae mkuu ndo tunajofunza funza siasa hizi daah, si unajua usawa unakaba kwahiyo tunajaribu kutengeneza plan B
 
We unafikiri mbowe akipewa nchi hii kitu gani cha maana atakachokifanya
Atapeleka Twiga chato
Atapiga wapinzani risasi
Wengine atawateka
Atavunja katiba
Jamaa zake atawapa post nyeti
Ataangusha soko la mbazi
Atawavuruga wakulima wa korosh

Hayo ndio Bashir atakayoyafnya Mboe akipewa Nchi,,,,lkn yapo mengi sana
 
Back
Top Bottom