Lupamba's grandson
JF-Expert Member
- Jan 9, 2015
- 1,232
- 1,192
Jiwe
MkuuPalijengwa ili kufuta kiwanja cha wazi kuwathibiti wanasiasa wa upinzani
Ohooooo!!!!Jiwe
Sio ivyo kaka,pale hata mtoto wa darasa la saba asingejenga vile,pale ni kwamba hela ilitafunwa tuShida hii nchi hawana mipango endelevu. Wanafanya mambo kwa mzuka.
Sijaelewa mwishoni mkuu.. Uliwai msikia nani huyo?Hivi unaweza kujikamata? Wakandarasi walishauri daraja kubwa la juu lijengwe ili lipitishe maji na bajeti ilitengwa lakini pesa zikapigwa unataka ajikamate thubutu? Uliwahi msikia akiongelea kuhusu huu ufisadi uliofanywa wa huu mradi wa mwendokasi?
Wajinga na wanaotakiwa kukamatwa ni waliofuata ushauri wake.Kwa namna yoyote ile huyu mtu hakuwa na nia njema , Jangwani kwa miaka kadhaa imefahamika kama mkondo wa Bahari , sasa kwa mtu yeyote mwenye akili timamu ama mwenye nia njema asingeleta ushauri duni wa kiwango kile .
Nasema akamatwe ahojiwe na nina hakika mengi yatafumuka .
sasa kwanini mabasi ya mwendokasi yamegeuka kambare ?Jangwani ni sehemu salama ya kujenga. Kwenye bahari, hotel zimejegwa sembuse hapo funken maji yanapita tu
Hata kutumbuliwa? Hiyo ndio Tanzania kama watawala hawakupendi utahenya lakini kama wanakukubali hata ukikosea vipi huwajibishwiinasikitisha sana kwamba mpaka kampuni inakufa bado hajakamatwa
Sasa wale waliokuwa wanajenga pale , ambao ndio hasa wanaopata hasara , hili unalolijua wewe wao hawakulijua ?Shida ya nchi hii kwanza ni ujinga wa watanzania, wote nyie mmeingia CHAKA, shida ya jangwani ni uhusiano Kati ya serikali kuu na manispaa zake, jangwani ilikuwa haijai maji, maji hayaletwi na uamuzi wa serikali kujenga pale station ya dart, bali inaletwa na manispaa, hili ni eneo I la chini, lakini kila siku linapungua kwa nusu kwa sababu manispaa imeruhusu makazi na watu wanajaza kifusi kujenga nyumba, hii inafanyika kweupe kabisa upande wa ilala na kigogo, na hata timu pendwa nayo inajaza eneo la storm surge kujenga uwanja w mpira na watu wanashangilia, halafu kesho mnapinga Kelele kuilaumu serikali, sii kweli, ni ujinga wetu tuu, tumejaa umbumbumbu hatuelewi kinachotokea nini
mbona mikokoteni inafanya kazi kutwa kucha !Hahahahaja na wiki hii hawajatolewa na boti kweli