Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,789
- 218,428
Aiseee !Yusuph Makamba and some CCM members,walifanya fitina sana kwa huyu mzee hadi kufutwa kazi TBC,pia walimpa kesi ya matumizi mabaya ya ofisi,sijui kesi hii iliisha vipi!
Hili ni jambo la muhimu sana kufanyika kwa sasa hasa baada ya TBC kupoteza mvuto kwa wananchi kwa kiwango cha kutisha mno .
Bila shaka aliyefanya jambo lile alilipwa ili kuhujumu TV ya Taifa , si bure ! TBC leo imekuwa ya kuangaliwa na walioishiwa bando kweli ? tena kipindi cha Mama Ndege ! Hii ni aibu sana !
Hahahaha dish 100 aisee kweli umeichoka TBC yetu pendwa..embu sema tatizo nini?Mimi kifurushi kikiisha kuliko niangalie TBC naweka Dish 100, hata week mbili!
Ingekuwa inaonesha idadi ya watu wanaoiangalia kwa muda flani nadhani wangeshaifunga, ila kwasababu inaendeshwa na kodi zetu inaendelea kurusha matangazo ya mrengo mmoja.Hili ni jambo la muhimu sana kufanyika kwa sasa hasa baada ya TBC kupoteza mvuto kwa wananchi kwa kiwango cha kutisha mno .
Bila shaka aliyefanya jambo lile alilipwa ili kuhujumu TV ya Taifa , si bure ! TBC leo imekuwa ya kuangaliwa na walioishiwa bando kweli ? tena kipindi cha Mama Ndege ! Hii ni aibu sana !
HakikaIngekuwa inaonesha idadi ya watu wanaoiangalia kwa muda flani nadhani wangeshaifunga, ila kwasababu inaendeshwa na kodi zetu inaendelea kurusha matangazo ya mrengo mmoja.
Eti TBC....Tanzania Broadcast my foot😬😬
Wewe umejuaje yote hayo kama huangalii TBC?Hili ni jambo la muhimu sana kufanyika kwa sasa hasa baada ya TBC kupoteza mvuto kwa wananchi kwa kiwango cha kutisha mno .
Bila shaka aliyefanya jambo lile alilipwa ili kuhujumu TV ya Taifa , si bure ! TBC leo imekuwa ya kuangaliwa na walioishiwa bando kweli ? tena kipindi cha Mama Ndege ! Hii ni aibu sana !
Katiba ya enzi za Adam and Eve 1977 inamkinga dhidi ya mashitaka yoteHili ni jambo la muhimu sana kufanyika kwa sasa hasa baada ya TBC kupoteza mvuto kwa wananchi kwa kiwango cha kutisha mno .
Bila shaka aliyefanya jambo lile alilipwa ili kuhujumu TV ya Taifa , si bure ! TBC leo imekuwa ya kuangaliwa na walioishiwa bando kweli ? tena kipindi cha Mama Ndege ! Hii ni aibu sana !
Mimi Bora ninunue kifurush Cha simu niangalie ma x videos huko walau punyeto inanipa raha kuliko nicheck tbcMimi kifurushi kikiisha kuliko niangalie TBC naweka Dish 100, hata week mbili!
Kamanda, hivi chama chetu kina mpango kweli wa kuanzisha angalau karedio ili iwe rahisi kuwasiliana na wananchi ambao ndo wapiga kura? Nauliza swali tu!Hili ni jambo la muhimu sana kufanyika kwa sasa hasa baada ya TBC kupoteza mvuto kwa wananchi kwa kiwango cha kutisha mno .
Bila shaka aliyefanya jambo lile alilipwa ili kuhujumu TV ya Taifa , si bure ! TBC leo imekuwa ya kuangaliwa na walioishiwa bando kweli ? tena kipindi cha Mama Ndege ! Hii ni aibu sana !
Ukiwa na wajukuu utajua mengiWewe umejuaje yote hayo kama huangalii TBC?
Hadi kipindi cha Mama ndege unakijua!!
Tukianzisha asubuhi jioni wanafungia .Kamanda, hivi chama chetu kina mpango kweli wa kuanzisha angalau karedio ili iwe rahisi kuwasiliana na wananchi ambao ndo wapiga kura? Nauliza swali tu!
Ebu tuanzishe ili waifungie then ulimwengu wote uwajue kuwa ni makatili!Tukianzisha asubuhi jioni wanafungia .
Baba yake Februari ndiye aliyekuwa nyota wa hiyo filamu, hasa baada ya Tido kugomea kusitishwa kwa kile kipindi midahalo majimboni na wagombea urais kwenye ule uchaguzi, akiwa katibu mkuu wa chama.Yusuph Makamba and some CCM members,walifanya fitina sana kwa huyu mzee hadi kufutwa kazi TBC,pia walimpa kesi ya matumizi mabaya ya ofisi,sijui kesi hii iliisha vipi!