Aliyerekodi Video ya Mwanafunzi kushambuliwa na Walimu

Aliyerekodi Video ya Mwanafunzi kushambuliwa na Walimu

Huyu mtu ni nani?
Je, na yeye ni mwalimu kabisa au alikuwa kwenye mazoezi?
Mwenyewe wamemchukulia hatua gani?
Akiachwa atakuwa amependelewa sana, kama mkuu wa shule alichukuliwa hatua hakuna jinsi huyu aliyerekodi video aachwe!
Mkuu wa shule hakuwa na taarifa kabisa ya tukio lile hadi anakuja kuliona kwenye mtandao siku sita baadae, lengo la mchukua taarifa halikuwa kusaidia bali ni umbea na kuwachomea wenzie.

Watanzania hebu pimeni wenyewe ni watu wangapi wamekasirishwa na tukio lile ambalo lingeweza kumalizika kwa amani kabisa ndani ya Ofisi husika. Pia hakupaswa ku concentrate kwenye video while kijana alikuwa anaumizwa, alivyoona wenzie wanahasira yeye ambaye alikuwa hajakasikirika angepaswa kuplay part hapo.

Watu tunawaona Walimu wanafunzi wale kama wanyama na tunasahau upande wa pili kabisa...

Isitoshe vijana wale walikuwa mazoezini, inawezekana bado hawajafundishwa how to handle cases of that type, au hicho kipengele hawajakifia.
Ilipaswa waonywe na wafundishwe as walikuwa kwenye Teaching Practice (ni sehemu ya mafunzo).

Ndalichako na hao waheshimiwa wengine wamekurupuka sana kwenye maamuzi, kisingizio kikiwa ni jinai kwani wameua?
Huyu aliyerekodi tukio hili asiachwe.
Sijakusoma kabisa point yako ni ipi, Je unawatetea wahusika na kulaumu mawaziri ama kwanini mchukua video hajahusishwa? Kwa taarifa yako kama ulivyosema kua wanatuhumiwa kwa kufanya kosa la jinai ni lazima sheria ihusike juu yao haijalishi kutokujua sheria hivyo usihukumiwe acha kutetea upumbavu hata kama ni ndg yako.
 
Huyu mtu ni nani?
Je, na yeye ni mwalimu kabisa au alikuwa kwenye mazoezi?
Mwenyewe wamemchukulia hatua gani?
Akiachwa atakuwa amependelewa sana, kama mkuu wa shule alichukuliwa hatua hakuna jinsi huyu aliyerekodi video aachwe!
Mkuu wa shule hakuwa na taarifa kabisa ya tukio lile hadi anakuja kuliona kwenye mtandao siku sita baadae, lengo la mchukua taarifa halikuwa kusaidia bali ni umbea na kuwachomea wenzie.

Watanzania hebu pimeni wenyewe ni watu wangapi wamekasirishwa na tukio lile ambalo lingeweza kumalizika kwa amani kabisa ndani ya Ofisi husika. Pia hakupaswa ku concentrate kwenye video while kijana alikuwa anaumizwa, alivyoona wenzie wanahasira yeye ambaye alikuwa hajakasikirika angepaswa kuplay part hapo.

Watu tunawaona Walimu wanafunzi wale kama wanyama na tunasahau upande wa pili kabisa...

Isitoshe vijana wale walikuwa mazoezini, inawezekana bado hawajafundishwa how to handle cases of that type, au hicho kipengele hawajakifia.
Ilipaswa waonywe na wafundishwe as walikuwa kwenye Teaching Practice (ni sehemu ya mafunzo).

Ndalichako na hao waheshimiwa wengine wamekurupuka sana kwenye maamuzi, kisingizio kikiwa ni jinai kwani wameua?
Huyu aliyerekodi tukio hili asiachwe.

Tatizo watu hamfuatilii ishu kwa undani, ndio kapigwa sana ila huyu dogo angekuwa nyumbani kwenu pengine angeshakutoa meno yote

Ebhu fikiria kamtukana baba yake mbele ya staff, kashavunja TV ya nyumbani kwao na baba yake hataki hata kumuona kashakamatwa shule ni anavuta bangi hapo yenyewe aliwapiga walimu watatu ngumi za hatari ila baadae wanafanikiwa kumdhibiti na zile ni hasira tu pengine ingekuwa ww ungempiga zaidi ama kumvunja mahali

Hlf tukumbuke wale walimu wapo mafunzoni na wapo chini ya uangalizi wa walimu wazoefu na chuo hili swala lingemalizwa na hao wahusika wawili kwa kutoa adhabu kali ikiwemo kurudia kufundisha tena mwakani ama kurudishwa mwaka mmoja nyuma hlf kwann wasisikilizwe kabla hawajahukumiwa watu wanaua mamilioni ya watu lakn wanapewa nafasi ya kusikilizwa mm ni mdau namba moja wa serikali iliyopo madarakani lakn kwa hili hawajajipanga nadhani waziri asingetoa maamuzi magumu kiasi hicho pengine hata angekishinikisha chuo kuwachukila hatua kali vijana hao

Kuna wanafunzi kibao wanaosomea udaktari, ufamasia na unesi hawa wanatenda maovu makubwa kwa wagonjwa pengine zaidi ya unavyoweza kudhania tena kwa uzembe tu ikiwemo kutokutoa huduma sahihi kwa wagonjwa hadi kupelekea vifo vyao lakn kigezo tu wapo mafunzoni wanapewa second chance tukiamini ipo siku watafanya kwa usahihi

Aisee nimeamini simba akimla mbuzi kawaida ila mbuzi akimla simba ndo habari ya mjini

Ni juzi juzi tu hata miezi mitatu haijaisha makamu wa shule kapigwa hadi kuvunjwa meno matano na wanafunzi bila ya kosa lakn hakuna hatua iliyochukuliwa hadi sasa ticha kibogoyo lakini juzi huyo dogo kapigwa kidogo wala hajapata jeraha lolote yupo tu anazurura mtaani ila..... Aisee tuwaache walimu wanajitoa sana
 
Mleta mada jaribu kukubali tu yaishe, unaweza kuwa na hoja hapo, lakini kile kipigo kilikuwa kimevuka adhabu ya kawaida, hivyo vumilia tu ndugu yangu hakuna namna.

Matukio ya namna hii ni mengi sana katika jamii sema watu shapu kama huyu mwalimu aliye rekodi video ndo hawapo, tungekuwa tunashuhudia vitu vya ajabu cha scorpion cha mtoto.
 
Mambo ya kawaida sana,ila watanzania tunatumia nguvu nyingi kuyajadili...yule mwanafunzi kapigwa kawaida tu,mbona hata wazazi wanawapiga watoto zaidi ya pale,...Mwenye nchi anashangaa jinsi watu wake walivyo vichwa mviriringo,kujadili swala dogo kama hili,...

Kwa taarifa yenu hakuna mwanajeshi aliyejadili hili swala maana kiwaida sana.
 
  • Thanks
Reactions: ora
Huyu mtu ni nani?
Je, na yeye ni mwalimu kabisa au alikuwa kwenye mazoezi?
Mwenyewe wamemchukulia hatua gani?
Akiachwa atakuwa amependelewa sana, kama mkuu wa shule alichukuliwa hatua hakuna jinsi huyu aliyerekodi video aachwe!
Mkuu wa shule hakuwa na taarifa kabisa ya tukio lile hadi anakuja kuliona kwenye mtandao siku sita baadae, lengo la mchukua taarifa halikuwa kusaidia bali ni umbea na kuwachomea wenzie.

Watanzania hebu pimeni wenyewe ni watu wangapi wamekasirishwa na tukio lile ambalo lingeweza kumalizika kwa amani kabisa ndani ya Ofisi husika. Pia hakupaswa ku concentrate kwenye video while kijana alikuwa anaumizwa, alivyoona wenzie wanahasira yeye ambaye alikuwa hajakasikirika angepaswa kuplay part hapo.

Watu tunawaona Walimu wanafunzi wale kama wanyama na tunasahau upande wa pili kabisa...

Isitoshe vijana wale walikuwa mazoezini, inawezekana bado hawajafundishwa how to handle cases of that type, au hicho kipengele hawajakifia.
Ilipaswa waonywe na wafundishwe as walikuwa kwenye Teaching Practice (ni sehemu ya mafunzo).

Ndalichako na hao waheshimiwa wengine wamekurupuka sana kwenye maamuzi, kisingizio kikiwa ni jinai kwani wameua?
Huyu aliyerekodi tukio hili asiachwe.
Hivi una akili timamu kweli wewe?
Wewe ni binadamu wa kawaida kweli?
Mjinga mkubwa kabisa wewe kuwahi kutokea ktk sayari ya dunia.
 
Mtoa mada nahisi unakunywaga gongo au mataputapu akili yako imefyatuka kidogo we ni mzigo kwenye familia yenu
 
nlichogundua n kwamba mwalimu akipgwa na wanafunz watukutu, jamii nzma na viongoz wanafuraia mana hawatoag reaction kama hizi. UALIMU MBOMBO NGAFU JAMANI,
 
Marufuku walimu wote kumiliki smartphone [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kutokujua sheria,hakukupi haki ya kuvunja sheria.

Alie chukua video,hapaswi kuadhibiwa,unajuaje kama ndio mwenye sauti inayo kataza kuendelea kupigwa kwa kijana yule?
Kama unasema lile jambo linge ishia kwa amani,we ni mkosaji sababu yule anaoneka kama mkatili wa asili,hivo angeendelea kutesa wengine na hatimar kuua
 
NI UJINGA TU.

Ukisikiliza tukio la Mwanafunzi kupigwa na walimu jinsi linavyojadiliwa utadhani hiyo ni dhambi kubwa Duniani.Kuna matukio mengi ya walimu kudhalilishwa na wanafunzi lakini jamii inaziba maskio.

Tusipokuwa makini itafikia mahali walimu wa shule za serikali wataacha wanafunzi wafanye wanavyotaka. Sina muda wa kutetea hoja yangu ila naomba watanzania mjiulize maswali haya:

1. Je,ni lini ulisikia mwanafunzi wa shule BINAFSI amepiga mwalimu au kufungia mwalimu chooni?

2. Je,kati ya shule za Serikali na BINAFSI ni zipi zinatoa adhabu kali kwa wanafunzi?

3. Je,ni lini ulimuona mzazi mwenye mtoto shule BINAFSI anaenda shuleni kulalamika kuwa mtoto wake ameadhibiwa/Ameonewa?

4. Je, ulishajiuliza ni kwanini wanafunzi wa shule BINAFSI wana nidhamu kuliko wanafunzi wa shule za serikali?

5. Je, ulishajiuliza ni kwanini viongozi wote wanapeleka watoto wao shule za BINAFSI?

6. Je,Unadhani walimu wakiweka fimbo chini kwa kizazi hiki tunajenga taifa gani?

NB: KAMA UNADHANI MWANAFUNZI KUMKABA KOO MWALIMU NI SAWA,JIULIZE PIA WEWE KAMA BABA MTOTO WAKO AKIKUKABA KOO MBELE YA WADOGO ZAKE UTASEMA NI HAKI YAKE?
Nimekuelewa mkuu, kuna waalimu walichapwa viboko mkoan Kagera miaka kadhaa iliopita Na aliewachapa akapanda cheo hadi Leo kesi yao mahakamani haina mashiko

Hili limeonekana tukio kubwa tu coz liko kwenye clips lkn tuliosoma enzi za mwinyi Na mkapa adhabu za walimu wetu ilikuwa ni mangumi ofisin kwake baada ya hapo yanaisha
Hilo suala lingeweza kuisha kwa aman tu lkn aliyekuwa akirecod anapiga kelele tu " mwachen mtamuumiza huku anaendelea kurecod tu ni sawa na ajari kutokea unarecod video tu baada ya kusaidia majeruh kuwah Hosp.

NB ushaur kwa waalimu fundishen WANAFUNZI wanaojitambua hasa wenye malez Bora toka kwa wazaz wao wengine achana nao wakawe mascopion mtaani.
 
Kutokujua sheria,hakukupi haki ya kuvunja sheria.

Alie chukua video,hapaswi kuadhibiwa,unajuaje kama ndio mwenye sauti inayo kataza kuendelea kupigwa kwa kijana yule?
Kama unasema lile jambo linge ishia kwa amani,we ni mkosaji sababu yule anaoneka kama mkatili wa asili,hivo angeendelea kutesa wengine na hatimar kuua
Na ndo yeye haswa alokuwa anasema mwacheni mtamuumiza.
Kipigo kile mwanamke unasogea pale si angetafuta kutolewa ngeu na yeye.
Isitoshe ile video ni ya 30 sec tu, inaonesha kachukua makusudi ili aioneshe kwa watu. Na inaonekana kile kipigo kimenza kitambo, maana mpaka fimbo zimekatikakatika.
Mimi pia nampongeza, kajua kama walivofanya wale masharobaro sio sahihi.
 
Natabiri shule za Serikali zote zitakuja kuwa hovyo na kichaka cha kuzalisha majambazi.....

Tutashuhudia pia heshima na mipaka kati ya mwalimu na mwanafunzi itakuwa haipo....
 
  • Thanks
Reactions: ora
Kwani alikusudia kumwarifu nani. Wote pamoja aliyerekodi wana makosa. Alirekodi kwa kujifurahisha na akataka kuwafurahisha wengine bila ktafakari matokeo ya hili jambo. Uwezo wake wa kufikiri ni mdogo sana. Angeweza kurekodi kisha akampelekea mkuu wake au hata ikiwa vypmbo vingine lakini kurusha hewani uliuwa ukinga na imbea
 
Huwezi jua labda ilikuwa moja ya kazi yake ya kuchuka matukio kama hayo na kuripoti sehemu husika....
Kitachofuata atahamishwa huyo mwalimu...
 
Karma itamtafuta kila aendako,mnafiki sana.Hakuingilia kwanini?alisubiri mtoto afe ndio aje ku-post video?
Siungi mkono jinsi yule mwanafunzi alivyopigwa ila hata aliye-record ni mtu wa ajabu Sana
 
upande wa pili anafanana na wale waliokuwa wanamshuhudia scorpion akitoboa watu macho
 
Back
Top Bottom