nelvine
JF-Expert Member
- Nov 8, 2015
- 1,109
- 1,855
Eid Mubarak wanajamvi.
Katika utafutaji wa mkate wa kila siku nmejikuta nimeangukia katika mkoa huu wa katavi. Katavi ni pazuri kimazingira panavutia sana, japo mji huu hauna watu wengi, na hakuna mwingiliano mkubwa wa watu pia kibihashara naona ni mkoa ambao bado haujachangamka kabisa, still wapo local. Lengo kuu nahitaji kupata mwenyeji aliyepo hapa manispaa hili angalau nijifunze moja mbili katika mkoa huu.
Kama upo katavi mpanda tuonane.