barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,404
- 29,811
Unajiaibisha kwa kuongea kitu usicho kijua. Burundi, upinzani na wafuasi wao waligonea uchaguzi. Sasa kama wafuasi wachace wa Nkurunzinza walienda piga kura, tuaeme walikuwa milioni 1.5 na wa upinzani walioamua kupiga kura hawakuwa zaidi ya ailimia 13 unategemea nini?hii ndio africa, nkurunzinza burundi kapata 87% ila mpaka leo kuna vurugu na mauaji sasa sijui hao wanaompinga wako wapi hapo
chezea chaguzi za africa..............hah hah hahah hahah