Aliyeokolewa mgodini baada ya siku 41, amuulizia Lowassa

Aliyeokolewa mgodini baada ya siku 41, amuulizia Lowassa

Kutoka Magazetini.

Watu watano waliookolewa kati sita waliokuwa wamefukiwa na kifusi kwa takriban siku 41 muda ambao tulikuwa kwenye mchakato wa uchaguzi Mkuu, wamehoji kwa nini Lowassa hakuwa rais.

Chanzo: Habari Leo na Tanzania Daima.


Ilikosekana kura yake ndiyo maana hakuwa rais. Angekuwepo akapiga kura inawezekana angekuwa rais
 
Uwiii pole kaka watanzania tuna majonzi Sana kutupa mtu ambae sie tuliemchagua
 
Aisee jamaa alikuwa ana mahaba hatariii akiwa shimoni alikuwa akiwazia ushindi wa white hair
 
Hapo ndo utatambua kuwa kweli kuna ujuma za wazi zilifanyika kumuujumu sio rais pole sana nayaliyo wakuta ila mwenyez mungu aliwapwnda zaidi ndio maana mlikuwa na maraika mlizi amina
 
Rais wangu ni lowasa. Wajinga wa ccm walala hoi, waimba hapa kazi tu, kazi iyo hawana, wakati wengine wana zaidi ya miaka 30 bado wanaishi kwa wazazi hawajui bei ya chunvi, wanashinda mitaani wanaimba hapa kazitu, wamevaa kofia za ccm na kanga za cc na vitambaa vya ccm kuonesha furaha ya chama chao, wafikapo nyumbani kibatari hakina mafuta, chakula ndo usiseme, najua mtapita hapa kutapika. Bilingita, weka pilipili machoni, kunywa juice ya mchanga, toa povu kwa kupewa buku 7, lia, ukipenda simama juu ya sindano kumchafua lowasa. Huwezi kubadilisha ninachokiamini, ni mda tu.
 
Kweli mipango ya mola hupita kwa namna nyingi alishajua kunawatu wanamtaka fisadi akawapiga rokapu kwa muda
 
Nina uhakika hata kama angepiga kura, kura yake ingeibiwa tu.

...ingeibiwa vp wakati "mullah lowassa" alishasema suala la kulinda kura zisiibiwe aachiwe yeye?...mbona uwezo wa kutunza kumbukumbu za kauli za kipoyoyo za viongozi wenu unakuwa mwepesi?
 
ha ha ha ha.
waambieni hii ndio democrisis ya africa. chaguo la wengi sio chaguo la wapiga dili.
ni viongozi wachache sana wenye busara ya kukubali kushindwa akiwemo Wade,Jonathan, Banda.
wengine wote ni wapiga dili za kuuza nchi zetu
Dr. Shein anaingia kwenye kundi lipi kati ya haya uliyoyataja?
 
jambo la kuhoji hawa watu kufukiwa kwao mbona hatukusikia tunasikia leo cku wametolewa? inamaana serikali iliamua kukaa kimya ikiamin wamekufa ili habari isiwepo kabisa au vp? nchi za watu wazir mwenye zaman angewajibika kwa nn hili jambo lisiwe issue kabisa ktk circle za habari au ufuatiliaj wa serikali? hii inatoa picha kua kuna watu wengi wanafukiwa uko machimbon na serikali inalazimisha isiwe issue!!
 
jambo la kuhoji hawa watu kufukiwa kwao mbona hatukusikia tunasikia leo cku wametolewa? inamaana serikali iliamua kukaa kimya ikiamin wamekufa ili habari isiwepo kabisa au vp? nchi za watu wazir mwenye zaman angewajibika kwa nn hili jambo lisiwe issue kabisa ktk circle za habari au ufuatiliaj wa serikali? hii inatoa picha kua kuna watu wengi wanafukiwa uko machimbon na serikali inalazimisha isiwe issue!!
Walikuwa bize kutafuta ulaji, serikali isiyojali watu wake ni serikali mfu.
 
Athari za kula mende halafu unakosa hewa ya kutosha then huna matumaini ya kuiona kesho unakuwa unauliza maswali ya kibwege.Sasa kama hajawa rais si maanake alishindwa.
 
Back
Top Bottom