singidadodoma
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 4,394
- 1,538
Kwenye habari yao waliyoandika hivi karibuni kwamba mmoja wa wachimbaji waliookolewa baada ya kukaa chini ya ardhi siku 41, eti alipozinduka hospitalini alihoji kwamba kwa nini Lowasa hakuwa rais, ni habari za uongo na kwamba wale watu walikuwa dhaifu sana na hawakutaka hata kuhojiana na wana habari na hata walopopata nafuu walikataa kuongelea siasa.Source Clouds media.
Tanzania daima wamepiga sana pesa za mamvi wanatafuta kete nyingine ya kuvuta mkwanja