meningitis
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 8,464
- 4,832
Uchunguzi gani kwa mfano?
Uchunguzi gani kwa mfano?
Wao wanaonekana kama misukule maana hata shimoni hawakujali kuwatoa na matokeo yake serikali ilishasema walale pema peponi siku ya tatu baada ya kufukiwaIngekuwa viongoz wangeshapelekwa india hata wakiumwa mafua
Uchunguzi gani kwa mfano?
Uchunguzi gani kwa mfano?
tena umenikumbusha kitu kuna mmoja aliulizia kama lowasa keshaupata urais...nadhan ni wakati mhafaka kwa ndg lowasa kuonesha anajali kwa hao jamaa akianza na huyo alie muulizia
Tuna mfano mzuri wa Chile..Chilean mine rescue: What you might not know - CNN.comUchunguzi gani kwa mfano?
Kweli lowassa yumo mioyoni mwa watu,
Unadhani angeambiwa kuwa Lowasa ndio Rais angepona ghafla
Watu km ww hawakosekagi
Mkuu typing error nimerekebisha hapo juu