Aliyeokolewa mgodini baada ya siku 41, amuulizia Lowassa

Aliyeokolewa mgodini baada ya siku 41, amuulizia Lowassa

Watanzania mna majibu rahisi sometimes toa sayansi ya dunia ambayo imeshindwa kukwambia mwanadamu katoka wapi baada ya hapo utajitathmini upya na mtazamo halafu utaona mtoa mada yuko sahihi eti viumbe vilikuwepo bas oxygen ilikuwepo ingia wewe huko chini
 
Kwa kawaida mtu akizimia au akipigwa nusu kaputi anapozinduka memory yake huanza na vitu alivyokuwa anafikiria kwa mara ya mwisho (Most recent)
 
Kusema hapakuwa na oxygen pia sio kweli. Nasikia walikuwa wanakura viumbe kama vyura, mende na miziz ya miti. Vitu hivyo vyote vinahitaji oxygen hivyo oxygen ilikuwepo.
Nina mashaka na majibu yako mepesi, kuhusu kula vyura na mende sina wasiwasi, hivi ni vitu vichache tu walivyofukiwa navyo na itabidi tuwaulize walikula kwa muda gani kwenye kale kasehemu kadogo ambako hata kusimama walikua hawawezi si dhani kama kilikua chakula cha zaidi ya siku tatu kwa watu sita.

Kuhusu mizizi kuwa na oxygen kumbuka mti hujitengenezea oxygen yake kwenye majani (Photosynthesis)ambayo yako nje na kuisafirisha kwa njia maalumu kwenye mizizi, kwasababu nishakuona una elements za ubishI hebu siku moja jaribu kujitengenezea shimo karibu na mti alafu juu lifunikwe uende na chakuka cha kutosha siku kumi utoke akiwa hai.
 
Hahahahaaaa umeifanya siku yangu kuwa njema
 
Mbona hajauliza kwa nini Chadema hawajapata wabunge zaid ya 50 Kati ya 264.

unatafuta ugomvi sasa!!! wewe sikia tu kuwa EL alishinda, kuwa angekuwa rais na wabunge 35 usiulize kwa chadema ni kosa kubwa
 
Mnaosema kura za Lowassa hazikutosha ! Jiulizeni huko zilikotosha zanzbar mbona hazijatangazwa!!!!

Mjue tatizo ni kubwa kuliko
 
Lowassa ashinde kwa tume hii chini ya Lubuva?ajiulize kwanini mpk Leo Zanzibar haina Rais?
Inashangaza sana kuona watu wanang'ang'ania uongozi wakati wanao ongozwa hawawataki ila wanatumia Polisi, utawala wetu ni wa kijeshi watu hamjui
 
Kwenye habari yao waliyoandika hivi karibuni kwamba mmoja wa wachimbaji waliookolewa baada ya kukaa chini ya ardhi siku 41, eti alipozinduka hospitalini alihoji kwamba kwa nini Lowasa hakuwa rais, ni habari za uongo na kwamba wale watu walikuwa dhaifu sana na hawakutaka hata kuhojiana na wana habari na hata walopopata nafuu walikataa kuongelea siasa.Source Clouds media.
 
Hii habari iliandikwa na magazeti yote kasoro UHURU! Mbona hapa unalitaja TANZANIA DAIMA tu!?
 
clouds teyari kwish nei tunasikiliza e fm wao waendelea kufukuzia tenda za ccm
 
Back
Top Bottom