basi huyu kamuua jiran yake,..maake sg resort si iko hapo kona ya nairobi.
Bilionea bongo wapi hizi grades mnapata huyo ni tajiri tu
Wnangu wasijeolewa huko, huo mkoa una laana ya damu za watu! puuuuuuuuu!
Huwezi kuw na aman kwa kuua .kumbukeni kaini alipomuua abel nin kilimpata
Erasto ametangulia, sote tupo nyuma yake!. Uhai amepokonywa wakati ndio kwanza anaanza kuonja faida za uwekezaji wake. Tunashukuru umetuachia somo, hasa la ubunifu na ujasiri wa kuwekeza vitu vya quality. Itachukua miaka mingi kwa tuliobaki kufikia udhubutu wako. Kila nikiingia SG Resort najiona nipo darasani, kuwa Interial Design inawezekana Tanzania!! Nawajua wabunifu wa majengo, wahandisi na wawekezaji wengiiiiiii ambao bado wanaendelea kuhudhuria "darasa" hapo SG. Tangulia brother! Mungu aingoze familia katika mapito haya magumu!!
kawahi kufungwa kwa kosa gani!!!!!!!
mwenye wivu ni wewe chusa,sharifu na hussein gonga mlioamua kumua erasto kwa wivu.
Mauaji yalipangwa hospital ya mrara babati alipokuwa chusa amelazwa kwa kisingizio cha mgonjwa kwepa kukaa magereza.chusa alikuwa na kesi ya mauaji ya mchimbaji wa tanzanite one ambaye alikuwa ni rafiki wa eresto msuya,njama hizo zilipangwa na sharifu,chusa na kaburu walikuwa wakiongea kwa sauti bila kificho,alisikika kaburu akisema akitushinda tumwagie tindikali.Kaburu ndio aliyekuwa anamshughulikia chusa katika kesi hiyo ya mauaji na amefanikiwa kumtoa ndani wiki 3 kwa kutumia mgongo wa manumba na dci[/QUOTE
Manumba amekuwa akitajwa sana kama ilivyokuwa Mahita kusaidia watu wahalifu wenye pesa nyingi,ni wakati sasa huyu mkubwa kuchunguzwa maana sii ishara nzuri DCI Kuhusishwa na mitandao ya kihalifu. Kuendelea kunyamaza ni kuipa nafasi mitandao hiyo kujijenga mpaka itafikia mahali haiwezi kugusika tena kama ilivyo kule Amerika ya kusini.
Wanausalama najua mko kibao hapa mnatupia macho.zingatia sana ushauri huu.narudia tena,zingatieni sana ushauri wa bwana mkubwa hapo juu.hii mitandao ikiachwa iendelee kujijenga,kuna siku tutakua na viongozi na watu muhimu kwenye nchi ambao ni seniors wa magenge haya ya kimafia.wataleta shida hata kwenu mlioko juu.msikubali kuiweka nchi rehani kwa ajili ya pesa ya muda tu.pia huu ni wakati wa kutupia macho kwenye recruitment ya makada wa vyama vya siasa.tukomeshe hizi priority tunazotoa kwa kuwapa njia watu wenye pesa kujiingiza kwenye system bila kutazama background zao.tunaiweka nchi rehani jamani.Pesa isiwe kigezo pekee kumpa mtu hadhi fulani kwenye jamii kwa sababu ina njia nyingi za kuipata nyingine ni chafu na walioko huko ni watu washenzi wasiofaa kabisa kwenye jamii lakini uwezo wao wa kifedha unatufanya tuwaone wanatufaa kwa kila jambo.hapo tunapotea sana.la mgambo hili...
Sasa wakotoka mauaji yataendelea tena kwa lengo la kulipiza kisasi.Wahusika wa sheria wasiwe walegevu kiasi hicho mpaka wahalifu wanatamba mtaani.
mmh! ni nani huyo? maana Arusha mtu akitaka kulipiza kisasi anakutoa uhai.