Killing a human fellow for just 150m?
kawahi kufungwa kwa kosa gani!!!!!!!
Habari imekaa ki BAVICHA zaidi...
Habari imekaa ki BAVICHA zaidi...
Atakuwa asset kubwa sana kwa kile chama kinachotumia dola kuua wananchi wake kwa risasi na mabomu!! Yaani akilenga hadhara anaimaliza yote kama komandooo. Kudadeki,. cc Mwigulu Nchemba, Nape Nnauye, Chama, ZeMarcopolo, Ritz!!!Nalipongeza jeshi la police kwa hatua nzuri waliofikia,,ila nawashauri wana usalama wamtumie huyu kijana aliyeweza kumlenga na risasi 21 zikafanikiwa kumpata bilionea,,,,atakuwa ni asset nzuri sana kwa inchi yetu,,maana anaonekana mkono wake hauna vibratiion(hana pepopunda ya mkono) atumiwe kule darfu ,congo,au akae hapa dar kwenye trafic light kwaajili yamajambazi wanaotumia bodaboda
Killing a human fellow for just 150m?
Kucha, kutwa unaiwaza bavicha utakufa jitu zima unalelewa na shemeji yako..
Kuweni wapole wakuu kwani kila kitu najaribu kuiweka sawa kabisa na nitakuja full kwani mambo yanaendelea barabara~~~~~~~~~~~na huyu Odhitas Sharif yeye asilimia 1OO% kama haki itatendeka hakika anaweza akalamba mvua nyingi sana~~~~~~~~Kaeni mtindo wa kula kwani kila kitu chaja.
Sasa kwa taarifa zisizo rasmi mtu anayeaminika aliyemua erasto ni rafiki yake wa karibu mnoo na mfanyabiashara mwenzake wa mawe ustaadh shariff. Huyu yeye ndio alitoa hela za kufanyia kazi.