Aliyemuelewa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar atusaidie na sisi kuelewa

Dalali Zitto hajui hata anafanya nini?
Hana tofauti na dalali mkubwa bwana Mbowe....

Alivuta mpunga mrefu 2005 kule Mara kutoka kwa "R....A"

Akavuta tena 2015 baada ya yule mshenga kumfuata.....

Ni mrefu haswa ameufichia "offshore accounts" Nicaragua....jamaa kweli ni dalali kubwa
 
Kwa sanduku la kura ccm hatuiwezi lkn kwa dua na sala Mungu atatusaidia kuwafarakanisha na wawe vituko
Mungu si wa pekee yenu...

Nasi tunaomba sana....

Na ile mizimu yetu ya kule Bagamoyo haijatuacha hataaa
 
Hana tofauti na dalali mkubwa bwana Mbowe....

Alivuta mpunga mrefu 2005 kule Mara kutoka kwa "R....A"

Akavuta tena 2015 baada ya yule mshenga kumfuata.....

Ni mrefu haswa ameufichia "offshore accounts" Nicaragua....jamaa kweli ni dalali kubwa
Nitajie faida 3 tu za uongo ulizopata tangu uanze tabia hiyo mbaya
 
Mara zote wadau wa siasa wamehoji malengo na dhamira halisi ya ACT WAZALENDO kwenye siasa za Tanzania , mpaka sasa bado majibu yanatafutwa .

Sasa tunaomba aliyemuelewa kiongozi wao huyu atusaidie kuelewesha wengine

Mkubwa huyo amedai kwamba Wawekezaji Waje nchini Tanzania , maana hali ya kisiasa ni Tulivu , cha kushangaza Mwanachama wao ametekwa na kuteswa juzi tu huko Mbarali (hii ni kwa taarifa ya chama chake) , au kwa vile aliyeteswa ni Mtanganyika ndio maana hali inadaiwa ni shwari , angetekwa wa Mchambawima au Chake chake angepuuza ?

View attachment 2758171View attachment 2758173
Wao interest yao ni Zanzibar hawahusiki na Tanganyika
 
Back
Top Bottom