Aliyemrekodi mtoto Dorcas na wimbo wa chura asakwe

nitumie pm niione, m sijaiona
Mkuu ngoja niiangalie nitakutumia, haina lolote! Yaliyopo ndani ya hiyo vdo watoto wengi wanafanya sema hawarekodiwi tu! Tatizo haliwezi kuwa eti video! Insu ni maadili tu yameporomoka na sio kwa hiyo familia tu! Ni jamii yoote. Tuache kujifanya vipofu'

Nitaiweka hapa"
 
nitumie pm mkuu
 
Haya mambo yapo sana uswahilini labda wewe ni mgeni tu au huishi mazingira hayo, wazaz ni muhimu kuwalea watoto kimaadili, alorekodi ana kosa ila wapo waliomuona huyo mtoto tangu awali hawakumkanya, sidhan kama alijifunza siku ya kurekodiwa.

Kuna baadhi ya mitaa kwa Dar es Salaam kinapopita kigodoro kuna wanawake wanajifunika madera usoni na kubaki UCHI WA NYAMA, MAMIA YA WATOTO WANAONA.Hayo nimeyashuhudia mimi mwenyewe TANDALE, MWANANYAMALA,KINONDONI
 
Wasakwe tu. Walichofanya sio cha kimaadili kabisa
 
Umeeleweka mkuu, ila kumbuka tu mtoto kasema aliona kwa mama na baba. Naona haikuwa bora saana kuhusisha usingo maza kwenye ile video
 
Ndio maana huwa siwa follow watu wajinga wajinga insta kwasababu ya upuuzi huo tu. Hivi yule mmama aliefanya vile anaakili au magimbi kichwani mwake
 
Nalaani kitendo kile kwa herufi kubwa. Jamani wake zetu hivi ndivyo mnavyowalea watoto wetu? Maana mara nyingi sana huwa mpo karibu na wanetu na mna impact kubwa sana katika makuzi ya watoto wetu. Sasa km hali yenyewe ni hii kweli usalama wa mtoto utakuepo??

Shame!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…