Aliyempiga risasi Sheikh Ponda abainika

Aliyempiga risasi Sheikh Ponda abainika

Huwezi kumtaja mtu bila kuwa na prove yoyote ni hatari mleta mada usiwe mbishi futa hii mada kwausalama wa muhusika
 
Hilo jina linatosha tu kusomea ile dua ile ya mtu kufa mkavu

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
acha usenge nani kwakuambia insp.ni cheo kikubwa mbwa we ni nyota mbili,mbona kamhanda alikuwa ACP na kila tukio alikuwa anatokea na bastola mkononi?au huelewi insp.ni nini

Sasa hasira za nini jamani,punguza stress...
 
Jina: Inspekta benedikti george
kabila: Mkurya
kituo cha kazi: Morogoro mjini.
Fichua uovu na waovu pinga dhulma na uonevu kwa wananchi
Jitaje wewe ni nani, unapatikana wapi, na utupe namba za simu ili iwe rahisi tunapokuhitaji. Sawa..!
 
Kwa mfumo wetu wa Sheria mtuhumiwa ana haki ya kukingiwa kifua/kuheshimiwa hadi pale itakapogundulika pasi na shaka kwamba ni mhalifu...Hatuongozwi na sheria za mshukiwa kuwa criminal hadi pale itakapoonekana hana hatia!

Uko sawa mkuu ndivyo ilivyo.."innocent until prove guilty beyond any reasonable doubt"
 
Kwa ujinga wenu na udini hili mnashangaa sana. Acheni double standards!
 
Kusema inspector haruhusiwi kushika bunduki ki-protokali nakubaliana na nyie kuwa ni sawa laoKini kama tukio lilikuwa limepangwa liwe hivyo tena kwa jeshi la polisi la tanzania linaloendeshwa kisiasa badala ya kitaaluma basi kubalianeni na mimi kuwa chochote kinawezekana.

Isitoshe niliona mahala wakimnukuu sheikh mmoja wa morogoro akisema kuwa wameweza kumtambua aliyempiga sheikh Ponda na hata ushahidi wa video wanao.Hivyo sizitilii shaka sana taarifa hizi zilizoletwa na mleta hoja may be amekwisha iona hiyo video.
 
Mimi kama muislam nasema nitamtafuta huyu Benedikti alikopanga nayeye nimfyatue bega labda akae kota za Polis line
 
acha usenge nani kwakuambia insp.ni cheo kikubwa mbwa we ni nyota mbili,mbona kamhanda alikuwa ACP na kila tukio alikuwa anatokea na bastola mkononi?au huelewi insp.ni nini

umejiharibia kwa kutukana , ungeweza kumwelewesha bila tusi na ingekuwa poa .
 
Akapigwe kwanza baba hiyo ya kichwa, kafili mkubwa wewe.
 
Tusaidie kutaja na walio wamwagia tindikali wazungu wa watu, inaonekana wewe unataarifa nyingi za kihalifu za nchi hii.
 
Back
Top Bottom