THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 18,543
- 14,803
Siku nyingine apige Risasi za Kichwa kwa watu kama akina Ponda.
Very sorry with your sad destiny...
Siku nyingine apige Risasi za Kichwa kwa watu kama akina Ponda.
Samahani, hivi hapo kabila linahusikaje kwenye risasi na issueJina: Inspekta benedikti george
kabila: Mkurya
kituo cha kazi: Morogoro mjini.
Fichua uovu na waovu pinga dhulma na uonevu kwa wananchi
Jina: Inspekta benedikti george
kabila: Mkurya
kituo cha kazi: Morogoro mjini.
Fichua uovu na waovu pinga dhulma na uonevu kwa wananchi
Unatumia inyaa kufikili!kwa hiyo yule aliyemsambaratisha Mwangosi kwako wewe ni shujaa?
Waache vyombo husika vifanye kazi yao! Sio vyema kumwanika mtu kwa hisia tu bila kuwa na mamlaka kisheria kufanya hivyo...Ni kinga gani umemwekea Bwana Benedikti na familia yake kabla hujampost hapa?
Inspekta ni cheo kikumbwa hausiki kwenye kukamata sasa hapo kutakuwa na utata mkubwa
Habari hii ina walakini, kwa nifahamuvyo Insp ni ofisa ambaye kwa sheria za Jeshi la Polisi hatakiwi kushika bunduki zaidi ya bastola.Jina: Inspekta benedikti george
kabila: Mkurya
kituo cha kazi: Morogoro mjini.
Fichua uovu na waovu pinga dhulma na uonevu kwa wananchi
Fatwa itolewe dhidi yake
Labda kama ungekuwa unazungumzia habari ya maslahi lakini Insp au Nyota mbili ni cheo kikubwa kwa utendaji wa Jeshi la Polisi.acha usenge nani kwakuambia insp.ni cheo kikubwa mbwa we ni nyota mbili,mbona kamhanda alikuwa ACP na kila tukio alikuwa anatokea na bastola mkononi?au huelewi insp.ni nini
Baada ya kubainika amefanywa nini!tujuzeJina: Inspekta benedikti george
kabila: Mkurya
kituo cha kazi: Morogoro mjini.
Fichua uovu na waovu pinga dhulma na uonevu kwa wananchi
[Bu]Upo sahihi hausiki kukamata anahusika kupiga risasi, na ndicho alichokifanya![/B]
Mleta taarifa vizuri utoe na details kwa nini Na kwa vipi huyu uliyemtaja alishiriki.
Pia toa chanzo ta taarifa yako, maana mtu yeyote anaweza kubandika jina lolote na kudai ndiye aliyepiga risasi.
Kama una picha ya tukio bandika. Si uliona kwa mwangosi kila kitu kiliwekwa wazi
Labda kama ungekuwa unazungumzia habari ya maslahi lakini Insp au Nyota mbili ni cheo kikubwa kwa utendaji wa Jeshi la Polisi.
Umeona hapo wanatuchanganya tu
kwa hiyo yule aliyemsambaratisha Mwangosi kwako wewe ni shujaa?
acha usenge nani kwakuambia insp.ni cheo kikubwa mbwa we ni nyota mbili,mbona kamhanda alikuwa ACP na kila tukio alikuwa anatokea na bastola mkononi?au huelewi insp.ni nini