Yaani hadi aibuuuImekuwa ya Hovyo..
YANGA P BINGWA.
Ndio, kapelekwa timu ya Vijana wa Kiume ya Simba.Kumbe Mgosi sio kocha tena wa Simba queens?
Malalamiko FcUpemba wake sio uliomfanya ashindwe ila Simba Queen hawakustahili kuwa mabingwa Miami uliopita.
Mechi ya Mwisho ya kuamua ubingwa Simba ili bebwa. Refa hakutaka kumaliza mpira mbaka alipo watafutia goli dk ya 109, Matokeo ya kubebwa ndio Yale yaliyo jitokeza kwenye michuano ya Nairobi.
Sijui walimtoa wapi yule mpembaWhat a waste liooooongoooo kama yule mpemba aliywfukuzwa mtibwA