Aliyekwapua fedha za Kanumba afichuliwa::Jambo Leo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Aliyekwapua fedha za Kanumba afichuliwa::Jambo Leo

Discussion in 'Celebrities Forum' started by King Kong III, Apr 17, 2012.

 1. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #1
  Apr 17, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Kamati ya mazishi imemtaja m1 wa shemeji aliyemuoa dada yake kanumba ndiye aliyekwapua sh 2.5m na kutokomea nazo huku akitumia gari la kifahari la kanumba Lexus V8 yenye thamani ya sh mil78,akichezesha taya na mwandishi m1 wa wanakamati alisema hizo fedha kanumba alipewa na startimes kwa ajili ya safari za mikoani kwa ajili ya promotion. Hizo fedha ni tofauti na za michango hizi ni za kanumba ambazo zilikua chumbani kwake.

  Nawasilisha.
   
 2. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #2
  Apr 17, 2012
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  clouds fm ndo wamenyonya msiba wa kanumba kwa kujinufaisha
   
 3. Wkaijage

  Wkaijage Senior Member

  #3
  Apr 17, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 192
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kumbe!!
   
 4. kiagata

  kiagata Senior Member

  #4
  Apr 17, 2012
  Joined: Jan 12, 2012
  Messages: 192
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35

  Toeni ushirikiano sheria ichukue mkondo wake.
   
 5. iron2012

  iron2012 JF-Expert Member

  #5
  Apr 17, 2012
  Joined: Feb 16, 2012
  Messages: 358
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  kufa kufaana bana, maiti haizungumzi
   
 6. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #6
  Apr 17, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Kufa kufaana
  shemeji tafufa chako
   
 7. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #7
  Apr 17, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Hizo 2.5m ni tofauti na zile mil 50 zilizochakachuliwa na kamati ya mazishi.
   
 8. t

  thandiswa Member

  #8
  Apr 17, 2012
  Joined: Apr 10, 2012
  Messages: 86
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mi nashauri tu kamti ya mazishi muwe na aibu rudisheni fedha za marehemu kwa mama yake na the Great,ni aibu sn km JB ulipohojiwa kwanini hamuendi kumuona Kajala ukajibu si yeye tu na watu wote wasio wanachama wenu wafe,wafiwe,waoe,waolewe hamtakanyaga na ninvyojua ujumbe ule ulikuwa unaufikisha kwa K ambae alikuwa kajitoa tena ni cku chache tu kabla ya kifio cha K,nilishangaa kuwaona bongo movie na JB kuwa kwn kamati mtu akisema mlifuata hela za michango atakuwa amekosea? mliochukua hela rudisheni aibu
   
 9. A

  Amelie Senior Member

  #9
  Apr 17, 2012
  Joined: Oct 13, 2008
  Messages: 195
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndo hapo sasa,kanumba hakuwa mwanachama wao,kimbelembele hadi kujiweka kwenye kamati why?umaskini unawasumbua
   
 10. Mlachake

  Mlachake JF-Expert Member

  #10
  Apr 17, 2012
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 2,923
  Likes Received: 629
  Trophy Points: 280
  hilo gazeti la Jamboleo sijawahi kulisoma and I will never do.
   
 11. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #11
  Apr 17, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 0
  Kanumba amewatajirisha wengi sana kwa kifo chake
   
 12. J

  John W. Mlacha Verified User

  #12
  Apr 17, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 3,515
  Likes Received: 540
  Trophy Points: 280
  jambo leo linatafuta wasomaji kwa lazima
   
 13. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #13
  Apr 17, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  ni maskini na malimbukeni at the same tym! nakaa mtaa mmoja na ray, namjua toka enzi hizooooooooooo ni kajamba nani, mpaka leo ana jeuri ya kupita mtaani, full tinted, hasalimii watu, ana nyodo hazina mwisho, ila kwa vile na mimi nna tinted, nikionaga gari yake na mimi napandisha vioo juu jaraka sana, WAMECHAKACHUA PESA ZA MSIBA WASIKATAE! SHAME UPON THEM!
   
 14. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #14
  Apr 17, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Mlitaka azikwe nazo? Mwacheni shemeji atanuwe.
   
 15. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #15
  Apr 17, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Shemejii!!
   
 16. P

  Pweza Dume Member

  #16
  Apr 17, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 43
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 13
  duh, mengi tutayasikia...moive bado linaendelea
   
 17. n

  ndomyana JF-Expert Member

  #17
  Apr 17, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 4,732
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Jamani kweli kamati ya mazishi ya kanumba hivi nyie hamji kufa,. Mlichofanya kula hela ya msiba co aibu ni laana. Acheni kumsingizia shemej wa marehemu
   
 18. BPM

  BPM JF-Expert Member

  #18
  Apr 17, 2012
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,766
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  hii ni movie nyigine mengi yanakuja
   
 19. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #19
  Apr 17, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Kweli kabisa hawa jamaa wanajifanya kusikitishwa kumbe wajinufahisha
   
 20. Apollo

  Apollo JF-Expert Member

  #20
  Apr 17, 2012
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 4,889
  Likes Received: 1,370
  Trophy Points: 280
  Duh masikini weee, sasa na LULU atapata nini jamani? mbona wanamuonea mke wa marehemu? LOL
   
Loading...