Aliyekwapua fedha za Kanumba afichuliwa::Jambo Leo

na nadhani hao wanaoongelea hizo pesa zilizokuwa ndani nia yao ni ku-divert akili za watu kutoka kwenye hoja ya msingi ambayo ni kiasi kilichochangwa msibani ('kwenye sahani') ambacho ukichukua 10m ya JK + 5m ya Iddi Azzan + 15m ya Nchimbi nk wanasema jumla inakaribia 51m.

Mwenye kusema ukweli hapa alete accountability ya hizo na sio kuongelea hizo milioni 2.5


jamani hivi haya mahela yote badala ya kutumika ktk shughuli ya mwenzetu aliyekwisha itwa mbele ya haki kwanini hata zisingetumika kuboresha hapo chini.
shule.bmp
 
Back
Top Bottom