TANZIA Aliyekuwa Mtangazaji wa RFA, Juma Ahmed Baragaza afariki Dunia

Kaburi lina adhabu gani na misemo yenu hiyo ya ajabuajabu ukifa utuletee mrejesho iwapo kuna adhabu humo mchangani
We yote uliyojifunza kwenye dini,itikadi utamaduni,mila na desturi zako unaushahidi na hakika navyo...Mambo ya kitoto mtoto kufanya na watoto wenzake tunasema watoto wanacheza ila mambo ya kitoto mtu mzima kumfanyia mtu mzima mwenzake ni wakini (mpoto),wewe una walakini mkubwa sana.
 
Ni misemo tu ya kipumbavu isiyo na maana mfu hajui lolote sasa hizo adhabu zinatoka wapi mfu aliyewahi kufa akafufuka tu ndio akisema hivyo nitamuamini sio nyie mnaovuta pumzi
 
Sio kweli. Mambo nimemsikiliza miaka ya 2000 mwanzoni mara ya mwisho KBC.
Inawezekana lakini mimi nilikuwa nasikiliza tangu enzi hizo niko primary school. Tulikuwa na yale maredio makubwa aina ya SHANGAI na tulikuwa haturuhusiwi kuligusa mpaka afike mjomba wetu kulifungua na ndiyo tulikuwa tunasikiliza.

Hayo ya mwaka 2000 mimi hata hapo nyumbani sikuwepo tena nilikuwa na maisha yangu na wala nilikuwa sisikilizi tena hicho kipindil
 
Mkuu tupo ili tufe hakuna kifo cha bahati mbaya kwa Mungu iwe ajari malaria kujiua hata korona yote ni mipango ya Mungu kama utaki kufa ni bora ujiue tu
Logically premise zako hazina logic...

Ili Mungu apange vifo inabidi apange na aina ya mauaji..., mfano alete Ukimwi ili watu wafe kwa ukimwi, alete Jambazi ili liweze kuua watu..., alete wabakaji ili wawabake watu ambao watashindwa kuishi na kupelekea kujiua..., in short yeye ndio anatengeneza wauwaji ili mipango yake itimie...

Now ni kweli wewe unaamini hivyo ndivyo ?
 
Inawezekana lakini mimi nilikuwa nasikiliza tangu enzi hizo niko primary school. Tulikuwa na yale maredio makubwa aina ya SHANGAI na tulikuwa haturuhusiwi kuligusa mpaka afike mjomba wetu kulifungua na ndiyo tulikuwa tunasikiliza.

Hayo ya mwaka 2000 mimi hata hapo nyumbani sikuwepo tena nilikuwa na maisha yangu na wala nilikuwa sisikilizi tena hicho kipindil
Mkuu kama miaka ya 60 hadi 70 ulikua shule ya msingi basi wewe ni mzee wangu maana huko ni mbali sana kwangu.

Nakumbuka Leonard Mambo Mbotela nimemsikiliza KBC Swahili Service hadi mwaka 2006. Kipindi maarufu alichokua anakiendesha kati ya vingine ni hicho cha Je huu ni ugwana, la hasha huu si uungawana. Hata Radio Free walipokuja kuanzisha hicho kipindi nilijua ni hiyo aidea wameitoa kwa Mambo.
 
Hakuna shida ndiyo mfumo wa maisha wengine wanakufa na wengine wanazaliwa. Mimi nilidhania kile kipindi kilikuwa hakisikiki tena kumbe kimekwenda muda mrefu vile!

Ni sawa na kile kipindi cha watoto wetu kilikuwa kinarushwa na RTD enzi zile. Kilianza sisi tukiwa watoto na kimeendelea kwa kipindi kirefu sana (sijui kama hadi sasa).
 
Back
Top Bottom