TANZIA Aliyekuwa Mtangazaji wa RFA, Juma Ahmed Baragaza afariki Dunia

Namkumbuka kwa kipindi cha salamu chapchap miaka ya nyuma sana Ilikuwa kipindi saa 4 usiku..Apumzike kwa amani.
 
Bila korona angekufa siku nyingine. Ni ngumu kuona hivyo?

Kwa nini mtu afe leo kama anaweza kufa miaka 20 ijayo?

Kuweni na huruma na watu wengine hata kama si ndugu zenu.

Mkuu tupo ili tufe hakuna kifo cha bahati mbaya kwa Mungu iwe ajari malaria kujiua hata korona yote ni mipango ya Mungu kama utaki kufa ni bora ujiue tu
 
Leonard Mambo alikuwepo miaka ya mwisho wa sitini mpaka sabini.
Sio kweli. Mambo nimemsikiliza miaka ya 2000 mwanzoni mara ya mwisho KBC.

Ni kweli kipindi kimeanza mwaka 1966.
images (2) (1).jpeg
 
Back
Top Bottom