Ni utamaduni ulio zoeleka bdani ya Ccm.Hivi kwa nini wanapoteza hela zao wakati Mwenyekiti ameshasema anaweza kuchagua na kumpitisha hata mshindi wa 4?
Hapo chachaHivi kwa nini wanapoteza hela zao wakati Mwenyekiti ameshasema anaweza kuchagua na kumpitisha hata mshindi wa 4?
Daaa haya majitu hayawezi kabisa kujitenga na Rushwa Mungu anaendelea kuyaumbuaDG,
Ninapenda kukujulisha kwamba katika ufuatiliaji wa vitendo vya rushwa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2020, leo TAKUKURU(M) Kigoma katika jimbo la uchaguzi la Buhigwe tumekamata Tsh. 210,000/= zilizokuwa zimeshagawiwa Tsh. 10,000/= kwa kila mjumbe kwa wajumbe 21 kutoka kata ya Mnanila jimboni humo katika kikao kilichokuwa kimeitishwa na Mbunge wa jimbo hilo aliyemaliza muda wake Mhe. ALBERT NTABALIBA OBAMA.
Aidha mbunge huyo amesalimisha kwa maafisa wa TAKUKURU kiasi cha Tsh. 2,000,000/= alizokutwa nazo wakati akiendelea na kikao hicho. Fedha Tsh. 210,000/= zilizokamatwa kutoka kwa wajumbe 21 zilikuwa zimegawiwa na Mwenyekiti wa UWT(W) Buhigwe ambaye katika maelezo yake amethibitisha kukabidhiwa fedha hizo na Mhe. Mbunge ALBERT NTABALIBA OBAMA.
Uchunguzi wa tukio hili unaendelea, tutawasilisha taarifa ya matokeo ya uchunguzi mapema iwezekanavyo.
Naomba kuwasilisha tafadhali.
Stay tuned.
Mbona watia nia wa ccm wanakamatwa sana kwa kutoa rushwa? Kuna kitu gani kinaendelea jamani?DG,
Ninapenda kukujulisha kwamba katika ufuatiliaji wa vitendo vya rushwa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2020, leo TAKUKURU(M) Kigoma katika jimbo la uchaguzi la Buhigwe tumekamata Tsh. 210,000/= zilizokuwa zimeshagawiwa Tsh. 10,000/= kwa kila mjumbe kwa wajumbe 21 kutoka kata ya Mnanila jimboni humo katika kikao kilichokuwa kimeitishwa na Mbunge wa jimbo hilo aliyemaliza muda wake Mhe. ALBERT NTABALIBA OBAMA.
Aidha mbunge huyo amesalimisha kwa maafisa wa TAKUKURU kiasi cha Tsh. 2,000,000/= alizokutwa nazo wakati akiendelea na kikao hicho. Fedha Tsh. 210,000/= zilizokamatwa kutoka kwa wajumbe 21 zilikuwa zimegawiwa na Mwenyekiti wa UWT(W) Buhigwe ambaye katika maelezo yake amethibitisha kukabidhiwa fedha hizo na Mhe. Mbunge ALBERT NTABALIBA OBAMA.
Uchunguzi wa tukio hili unaendelea, tutawasilisha taarifa ya matokeo ya uchunguzi mapema iwezekanavyo.
Naomba kuwasilisha tafadhali.
Stay tuned.
Mbona watia nia wa ccm wanakamatwa sana kwa kutoa rushwa? Kuna kitu gani kinaendelea jamani?
Mkuu watu wanakamatwa na vidhibiti kabisa unasema ni njama kweli.?Ni njama tu za yesu wa Lugola za kutaka kuwachafua asiowataka na kuweka watu wake
Thamani ya hao wajumbe kila mmoja ni TZS 10,000? Mbona wanajizalilisha sana?DG,
Ninapenda kukujulisha kwamba katika ufuatiliaji wa vitendo vya rushwa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2020, leo TAKUKURU(M) Kigoma katika jimbo la uchaguzi la Buhigwe tumekamata Tsh. 210,000/= zilizokuwa zimeshagawiwa Tsh. 10,000/= kwa kila mjumbe kwa wajumbe 21 kutoka kata ya Mnanila jimboni humo katika kikao kilichokuwa kimeitishwa na Mbunge wa jimbo hilo aliyemaliza muda wake Mhe. ALBERT NTABALIBA OBAMA.
Aidha mbunge huyo amesalimisha kwa maafisa wa TAKUKURU kiasi cha Tsh. 2,000,000/= alizokutwa nazo wakati akiendelea na kikao hicho. Fedha Tsh. 210,000/= zilizokamatwa kutoka kwa wajumbe 21 zilikuwa zimegawiwa na Mwenyekiti wa UWT(W) Buhigwe ambaye katika maelezo yake amethibitisha kukabidhiwa fedha hizo na Mhe. Mbunge ALBERT NTABALIBA OBAMA.
Uchunguzi wa tukio hili unaendelea, tutawasilisha taarifa ya matokeo ya uchunguzi mapema iwezekanavyo.
Naomba kuwasilisha tafadhali.
Stay tuned.
Ole wenu mumkamate mmbunge wa CHADOMO mtakua mnaukandamiza upinzani na kutekeleza maagizo toka juuDG,
Ninapenda kukujulisha kwamba katika ufuatiliaji wa vitendo vya rushwa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2020, leo TAKUKURU(M) Kigoma katika jimbo la uchaguzi la Buhigwe tumekamata Tsh. 210,000/= zilizokuwa zimeshagawiwa Tsh. 10,000/= kwa kila mjumbe kwa wajumbe 21 kutoka kata ya Mnanila jimboni humo katika kikao kilichokuwa kimeitishwa na Mbunge wa jimbo hilo aliyemaliza muda wake Mhe. ALBERT NTABALIBA OBAMA.
Aidha mbunge huyo amesalimisha kwa maafisa wa TAKUKURU kiasi cha Tsh. 2,000,000/= alizokutwa nazo wakati akiendelea na kikao hicho. Fedha Tsh. 210,000/= zilizokamatwa kutoka kwa wajumbe 21 zilikuwa zimegawiwa na Mwenyekiti wa UWT(W) Buhigwe ambaye katika maelezo yake amethibitisha kukabidhiwa fedha hizo na Mhe. Mbunge ALBERT NTABALIBA OBAMA.
Uchunguzi wa tukio hili unaendelea, tutawasilisha taarifa ya matokeo ya uchunguzi mapema iwezekanavyo.
Naomba kuwasilisha tafadhali.
Stay tuned.
Mazoea hujenga tabia!Hivi kwa nini wanapoteza hela zao wakati Mwenyekiti ameshasema anaweza kuchagua na kumpitisha hata mshindi wa 4?
Umasikini ni mbaya sana ndugu yangu!Thamani ya hao wajumbe kila mmoja ni TZS 10,000? Mbona wanajizalilisha sana?