Aliyekuwa mbunge Sumbawanga mjini kukata rufaa

DOMA

JF-Expert Member
Mar 17, 2011
944
365
Aliyekuwa mbunge wa Sumbawanga mjini Bwana Aeshy Hilaly ametangaza nia yake ya kukata rufaa dhidi ya hukumu iliyotolewa leo katika mahakama ya rufaa kanda ya sumbawanga na hakimu kuamuru uchaguzi urudiwe.
Kamanda Doma
Mytake
kwa hali ya sasa CCM hawana chao sumbawanga mjini
 
Ni haki yake ya msingi kukataa rufaa, na hiyo ndiyo demokrasia. Haki itapatikana huko huko mahakamani.

Tena najua kifungu cha 114 ndiyo kitakuwa kimemtia hatiani yule mbunge na kufuta ndoto zake kabisa.
 
anawaza mkopo wa mchuma ataurejeshaje?

Ni haki yake ya msingi kukataa rufaa, na hiyo ndiyo demokrasia. Haki itapatikana huko huko mahakamani. Tena najua kifungu cha 114 ndiyo kitakuwa kimemtia hatiani yule mbunge na kufuta ndoto zake kabisa.
 
...aaaah! Ni haki yake ila wakati mwingine ni kupoteza muda tu.
 
katiba inamlida kwa kuwa ni haki ya msingi kama maamuzi hakuridhia

Mimi nimefurahia namna wananchi walivyotoa ushahidi dhidi ya rushwa,laiti kama maeneo ya Lushoto,muheza,korogwe,na kwingineko wananchi wangekuwa wanaanza na Mungu wangemaliza na Mungu.Tuunganishe sala zetu kuwaombee wananchi wanaokumbatia rushwa ili wawe kama wanaswanga.POKEA PESA,KULA PESA,WANYIME KURA[MSEMO HUU ULITUMIKA A'MASHARIKI].
 
Habari nilizozipata muda si mrefu,mahakama kuu kanda ya sumbawanga imetengua matokeo yaliyompa ushindi mbunge wa ccm ndg. Haesh hailary

...we wa wapi? unaishi sayari gani? Kabla ya kuanzisha thread si uanze hata kusoma yaliyomo? sijui vitabu unasomaje ww!! Habari iko hapa toka asbh tena kwa live updates we unaanzisha tetesi saa 5 usiku?
 
Hana lolote Ke...ng..e mkubwaa huyo alijifanya sana kule Igunga sasa atakula kuona na hata akate rufaa hapati kitu kwani alitoa rushwa nje nje na bado tu hata waandishi waliokuwa wanafuatilia kesi hii kawapa rushwa ya kutisha ili wasitoe uozo wake akafie mbali huko hana issue tuachie tuchukue jimbo letu kwa ulaini kama tunasukuma mlevi na ole wenu Magamba 2015 lazima mkaozee jela na Kikwete wenu
 
CCM they very strategically akikata rufaa kesi itabigwa danadana mpaka next year(2013) Then hukumu ikitoa atakuwa ameshindwa ila kutakuwa hakuna uchaguzi coz itakuwa imebaki miaka miwili mpk uchaguzi mwingine kwahiyo jimbo litabaki wazi. Huu ndiyo mchezo ambao wamegundua ila isaidi zaidi ya kupoteza muda.

Mytake:Kama kuna kitu ambacho CCM wanakiogopa kwa sasa basi ni by election hata iwe ya diwani coz wao ndiyo looser hata kama wanashinda kiti lakini CDM wanakuwa wameimarika hata kule ambako walikuwa dhaifu which give them Strengh.
 
Absolutely!
 
Sijawahi ishi na matumaini makubwa moyoni km wakati huu ambao nuru ya UKOMBOZI inaonekana kuiangazia TANGANYIKA! 2015 tutakuwa huru na chamchetu pendwa CHADEMA kikiongoza nchi hii kwa usawa na uwazi. Mkoloni CCM bye bye!!
 
Back
Top Bottom