Tumbo Tumbo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 1,278
- 1,553
Kati ya makosa Mahali Viongozi Wa Tff Wanakoseaga ndiyo hapo. Kubadili waalimu kila tunapofungwa.Kama hatuna uzoefu kwa kiwango cha kushindana kimataifa hata akija Morinyo sidhani kama atabadilisha mambo. Kwani ni kocha gani aliyeivusha hii timu kwenda kwenye hizo fainali
Inatakiwa TFF wawe na Kocha Mkuu anayedumu walau miaka kadhaa, tuseme kama miaka 5 nakuendelea. Akiwa na uwezo wa kufundisha ni vema wakati timu haiko mazoezi kwa mashindano serious akawa anapewa nafasi kufundisha makocha Mikoani.