LEo umetumia akili kuchambuaKwahiyo mkae huko muanze kutumiana meseji zenu za udaku msecreen shot kisha mzilete JF??
JF imekuja kuwa vipi now days,hata kama tuseme ni kweli watu wameuwawa na wanakwenda kuzikwa nani mwenye akili ndogo hivyo za kuweza kuwachukua mahabusu ambao anajua wazi watakuja kwenda uraiani watumike kwenye kazi inayohitaki usiri kama hiyo?kama kazi yenyewe kweli ingekuwa ipo?
Wanalinda mtu ambaye miaka yake ya kuishi ihapa duniani nahesabika na kuwaua vijana na watoto ambao wangeishi miaka alyonayo huyo wanaye mlinda.Unalinda mtu anaeitafuta 70 unaua maelfu ya vijana nguvu kazi ya taifa + watoto wadogo
Wewe nyang'au video ya morgue ya Mwananyamala iliwekwa mtandaoni wizara yenu ya afya ikasema ile video ni AI?Bila video habari hii ihesabike kama propaganda tu za kuwasukuma watu wakafe zaidi Disemba 9
AiseeMuna Love ame-share screenshot ya moja ya ndugu wa aliyekuwa amepewa kesi ya uhaini baada ya maandamano ya Oktoba 29 akidai kuwa walitumika kubeba miili ya waliuawa kwenda kuwazika kwenye makaburi ya pamoja huko Kondo ambako hata ripoti ya uchunguzi ya CNN ilieleza uwepo wa makaburi hayo.
"Dada Muna, katoka mdogo wangu lakini naogopa kukwambia walichomfanyia huko ndani. Dada, ukihadithiwa huwezi kusikiliza hadi mwisho. Hatujisikii kuwa katika nchi—hapa tupo kama kisiwa cha mauaji. Nataka nikwambie ili dunia ijue, maana huku tumezibwa midomo; sehemu ya kusema hatuna kabisa."
"Yaani huwezi kuamini, wao ndiyo wametumika kubeba maiti zilizokuwa zinaenda kutupwa, tena unabeba kwa masharti makali. Huruhusiwi kushangaa, ukishangaa unapigwa risa hapo hapo, mnapakia maiti kwenye magari ya taka mkimaliza mnalala juu yake tayari kwa kwenda kupakua makaburini kwa Kondo wamezika watoto wetu bila heshima kama Mbwa"
Japokua wewe ni mmoja ya majitu majinga sana kwenye huu uso wa dunia ila hapa umeandika kitaalam sana!Kwahiyo mkae huko muanze kutumiana meseji zenu za udaku msecreen shot kisha mzilete JF??
JF imekuja kuwa vipi now days,hata kama tuseme ni kweli watu wameuwawa na wanakwenda kuzikwa nani mwenye akili ndogo hivyo za kuweza kuwachukua mahabusu ambao anajua wazi watakuja kwenda uraiani watumike kwenye kazi inayohitaki usiri kama hiyo?kama kazi yenyewe kweli ingekuwa ipo?
Kuchoma Moto Magari ya Wengine,Vituo vya mafuta,Kuvunja maduka ya wafanya Biashara na kuiba vitu ikiwemo Bidhaa mbalimbali kama vile Mitungi ya gas ndiyo theme ya maandamano?Hamna mtu ana andamana ili afe. Hakuna sheria inasema waandamanaji wapigwe risasi
Katiba imeruhusu maandamano , wanaopiga risasi hovyo ni un professional bunch of idiots.
And this time international eyes zote zipo upon nchi hii. Watachagua wenyewe wazidi kujiaharibia or waweke sawa
Kwa mara ya kwanza ameutumia ubongo wake.... kichwa kitamuuma sana kwa sababu ubongo wake haujazoea hiyo shughuli.LEo umetumia akili kuchambua
Wewe nyumbu hujui kuwa hata ukiiba kuku tu unavalishwa tairi unachomwa moto!! itakuwa kuchoma nyumba na mali za watu alizohangaika kutafuta miaka tele halafu wakuache kukuua? Kawadanganye nyumbu wenzako tu huku.Hamna mtu ana andamana ili afe. Hakuna sheria inasema waandamanaji wapigwe risasi
Katiba imeruhusu maandamano , wanaopiga risasi hovyo ni un professional bunch of idiots.
And this time international eyes zote zipo upon nchi hii. Watachagua wenyewe wazidi kujiaharibia or waweke sawa
Nitajie kifungu kinachosemw uvalishwe tairi ukiiba kuku?Wewe nyumbu hujui kuwa hata ukiiba kuku tu unavalishwa tairi unachomwa moto!! itakuwa kuchoma nyumba na mali za watu alizohangaika kutafuta miaka tele halafu wakuache kukuua? Kawadanganye nyumbu wenzako tu huku.
Ndugu zetu mliowaua wapo wapi?Hoja gani sasa za kijinga bizo,hana ushahidi anakuja na screen shot zake na shoga mwenzake anashare hapa na wewe unaziamini?
yaani serikali iwatumie mahabusu kwenye shughuli ya kufukia watu kwenye mass graves?teh teh teh...
UONGOZI HUU UMETENDA JAMBO AMBALO HALIJAWAHI KUTENDWA WALA KUSHUHUDIWA TANZANIAMuna Love ame-share screenshot ya moja ya ndugu wa aliyekuwa amepewa kesi ya uhaini baada ya maandamano ya Oktoba 29 akidai kuwa walitumika kubeba miili ya waliuawa kwenda kuwazika kwenye makaburi ya pamoja huko Kondo ambako hata ripoti ya uchunguzi ya CNN ilieleza uwepo wa makaburi hayo.
"Dada Muna, katoka mdogo wangu lakini naogopa kukwambia walichomfanyia huko ndani. Dada, ukihadithiwa huwezi kusikiliza hadi mwisho. Hatujisikii kuwa katika nchi—hapa tupo kama kisiwa cha mauaji. Nataka nikwambie ili dunia ijue, maana huku tumezibwa midomo; sehemu ya kusema hatuna kabisa."
"Yaani huwezi kuamini, wao ndiyo wametumika kubeba maiti zilizokuwa zinaenda kutupwa, tena unabeba kwa masharti makali. Huruhusiwi kushangaa, ukishangaa unapigwa risa hapo hapo, mnapakia maiti kwenye magari ya taka mkimaliza mnalala juu yake tayari kwa kwenda kupakua makaburini kwa Kondo wamezika watoto wetu bila heshima kama Mbwa"
Qumanyoko.Bila video habari hii ihesabike kama propaganda tu za kuwasukuma watu wakafe zaidi Disemba 9
Kwenye vurugu hakuna cha sheria ndio maana hata wao walikuwa wanachoma petrol stations kwani walikuwa wanafuate sheria gani inayoruhusu kuchoma petrol stations?Nitajie kifungu kinachosemw uvalishwe tairi ukiiba kuku?
Police wenyewe kila siku wanasema usijichukilie sheria mkononi
Nenda kawaulize CNNNdugu zetu mliowaua wapo wapi?
nani kasema kwenye vurugu hamna rules?Kwenye vurugu hakuna cha sheria ndio maana hata wao walikuwa wanachoma petrol stations kwani walikuwa wanafuate sheria gani inayoruhusu kuchoma petrol stations?
Tunawasubiri hiyo tarehe 9 mje mchome tena mali zetu hatutasubiri Polisi tutamalizana wenyewe kwa wenyewe, yaani nihangaike miaka tele kutafuta aje kibaka achome na kuiba mali yangu!! No way!!
Shithole. Tarehe 9 toka usikae nyuma ya keyboard nasikia kuna watu wameahidi kuwakata vichwa shauri yako. Lakini usiwashawishi vijana wasiyojua kitu wewe bwege.nani kasema kwenye vurugu hamna rules?
Kasome tena pgo na katiba ? Seem hufaham mipaka .
And for the record waandamanaji hawakuanza kwa kuchoma vitu, ilitokea tu pale security forces walipoanza kuwarushia risasi za moto
Bila mpangilio au control yoyote
So kusema tunawasubiri? Unamtishia nani idiot?