PostGE2025 Aliyekuwa amepewa kesi ya uhaini adai walitumika kubeba miili ya waliouawa kwenda kuwazika Makaburi ya Kondo

PostGE2025 Aliyekuwa amepewa kesi ya uhaini adai walitumika kubeba miili ya waliouawa kwenda kuwazika Makaburi ya Kondo

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Hamna mtu ana andamana ili afe. Hakuna sheria inasema waandamanaji wapigwe risasi
Katiba imeruhusu maandamano , wanaopiga risasi hovyo ni un professional bunch of idiots.

And this time international eyes zote zipo upon nchi hii. Watachagua wenyewe wazidi kujiaharibia or waweke sawa
Hapakua na maandamano
 
Vyombo vya uchunguzi vikae rada sana pale kondo..........kuna miili zaidi ya 300 imezikwa.....Nilitoa taarifa mapema sana kuwepo kwa miili kabla hata ya CNN kuwaumbua........Nimeshuhudia kwa macho ndiyo maana nikawa na guts za kusema hivyo...Zoezi lilifanyika usiku mnene.

Hata kama wakifukua ili kupoteza ushahidi vyombo vya uchunguzi vikafanye uchunguzi mapema na kuhifadhi footage kwa ajili ya kutumika ICC ,hao WAHUNI wameua watu sana.
Moja ya kitu kitasababisha vyombo viendelee lindwa ni mauaji ya 29/10
Maana wao ndo wana ushahidi
 
Vyombo vya uchunguzi vikae rada sana pale kondo..........kuna miili zaidi ya 300 imezikwa.....Nilitoa taarifa mapema sana kuwepo kwa miili kabla hata ya CNN kuwaumbua........Nimeshuhudia kwa macho ndiyo maana nikawa na guts za kusema hivyo...Zoezi lilifanyika usiku mnene.

Hata kama wakifukua ili kupoteza ushahidi vyombo vya uchunguzi vikafanye uchunguzi mapema na kuhifadhi footage kwa ajili ya kutumika ICC ,hao WAHUNI wameua watu sana.
Usijali boss. Everything is under control. They won’t get away with this
 
Muna Love ame-share screenshot ya moja ya ndugu wa aliyekuwa amepewa kesi ya uhaini baada ya maandamano ya Oktoba 29 akidai kuwa walitumika kubeba miili ya waliuawa kwenda kuwazika kwenye makaburi ya pamoja huko Kondo ambako hata ripoti ya uchunguzi ya CNN ilieleza uwepo wa makaburi hayo.

"Dada Muna, katoka mdogo wangu lakini naogopa kukwambia walichomfanyia huko ndani. Dada, ukihadithiwa huwezi kusikiliza hadi mwisho. Hatujisikii kuwa katika nchi—hapa tupo kama kisiwa cha mauaji. Nataka nikwambie ili dunia ijue, maana huku tumezibwa midomo; sehemu ya kusema hatuna kabisa."

"Yaani huwezi kuamini, wao ndiyo wametumika kubeba maiti zilizokuwa zinaenda kutupwa, tena unabeba kwa masharti makali. Huruhusiwi kushangaa, ukishangaa unapigwa risa hapo hapo, mnapakia maiti kwenye magari ya taka mkimaliza mnalala juu yake tayari kwa kwenda kupakua makaburini kwa Kondo wamezika watoto wetu bila heshima kama Mbwa"

Etiiii..!!!
Hapana hii ni zaidi ya ukatili, ICC ni haki yao wakanyongwe.
 
Kwaiyo
Yote haya ili mtu mmoja asiye na sifa wala maono abakie madarakani illegally. Halafu mtu anasimama na kuanza kutaja eti magari ya serikali 979 yaliharibiwa. Akiulizwa waandamanaji wangapi waliuwawa anajibu kwa kejeli "hakuna maandamano yasiyo na madhara"

Halafu eti ndiyo wanataka watu wasahau hivi hivi tu. Waridhiane!

View attachment 3507714
Magari mia 9 ni sawa na roho za watanganyika 20000?
 
Naam hakika wewe kweli ni Great thinker

Nakufuatiliaga sana mabandiko yako nakuappreciate Mkuu
lakini pia jipe muda wa kutafakari pia kwa lile rundo la maiti zile ni nani angeweza kufanya ile kazi kwa ule muda mfupi
 
Dah! Aisee mbaya sana

Tusipotoka D9 maana yake tumekubali huko mbeleni waje kutupapasa hata makalio , seriously
 
lakini pia jipe muda wa kutafakari pia kwa lile rundo la maiti zile ni nani angeweza kufanya ile kazi kwa ule muda mfupi
Wale waliokuwa wanaziondoa mitaani ndo hao hao wangeweza
 
Back
Top Bottom