babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 15,931
- 20,222
We gasho msimuingize dada wa watu kwenye shida zisizotakiwa.
Hizo msg mpumbavu yeyote anaweza Tuma na kumtaja yeyote.
Hizo msg mpumbavu yeyote anaweza Tuma na kumtaja yeyote.
Unashangaa nn kwa huu utawala wenye akili ndogo chochote cha hovyo wanaweza kufanya!We gasho msimuingize dada wa watu kwenye shida zisizotakiwa.
Hizo msg mpumbavu yeyote anaweza Tuma na kumtaja yeyote.
Machawa mmeshashindwa hojaKwahiyo mkae huko muanze kutumiana meseji zenu za udaku msecreen shot kisha mzilete JF??
JF imekuja kuwa vipi now days,hata kama tuseme ni kweli watu wameuwawa na wanakwenda kuzikwa nani mwenye akili ndogo hivyo za kuweza kuwachukua mahabusu ambao anajua wazi watakuja kwenda uraiani watumike kwenye kazi inayohitaki usiri kama hiyo?kama kazi yenyewe kweli ingekuwa ipo?
Hoja gani sasa za kijinga bizo,hana ushahidi anakuja na screen shot zake na shoga mwenzake anashare hapa na wewe unaziamini?Machawa mmeshashindwa hoja
Unazungumzia serikali ipi? Hii iliyojaa wajinga?Hoja gani sasa za kijinga bizo,hana ushahidi anakuja na screen shot zake na shoga mwenzake anashare hapa na wewe unaziamini?
yaani serikali iwatumie mahabusu kwenye shughuli ya kufukia watu kwenye mass graves?teh teh teh...
Mkuu usiichukulie serious sana hii serikall, lolote linawezekana!.Kwahiyo mkae huko muanze kutumiana meseji zenu za udaku msecreen shot kisha mzilete JF??
JF imekuja kuwa vipi now days,hata kama tuseme ni kweli watu wameuwawa na wanakwenda kuzikwa nani mwenye akili ndogo hivyo za kuweza kuwachukua mahabusu ambao anajua wazi watakuja kwenda uraiani watumike kwenye kazi inayohitaki usiri kama hiyo?kama kazi yenyewe kweli ingekuwa ipo?
Unaepiga kelele ni wewe mwehu mmoja.Nenda basi kawafukue,si umeshajua walipo?kelele za nini huku JF
Muna Love ame-share screenshot ya moja ya ndugu wa aliyekuwa amepewa kesi ya uhaini baada ya maandamano ya Oktoba 29 akidai kuwa walitumika kubeba miili ya waliuawa kwenda kuwazika kwenye makaburi ya pamoja huko Kondo ambako hata ripoti ya uchunguzi ya CNN ilieleza uwepo wa makaburi hayo.
"Dada Muna, katoka mdogo wangu lakini naogopa kukwambia walichomfanyia huko ndani. Dada, ukihadithiwa huwezi kusikiliza hadi mwisho. Hatujisikii kuwa katika nchi—hapa tupo kama kisiwa cha mauaji. Nataka nikwambie ili dunia ijue, maana huku tumezibwa midomo; sehemu ya kusema hatuna kabisa."
"Yaani huwezi kuamini, wao ndiyo wametumika kubeba maiti zilizokuwa zinaenda kutupwa, tena unabeba kwa masharti makali. Huruhusiwi kushangaa, ukishangaa unapigwa risa hapo hapo, mnapakia maiti kwenye magari ya taka mkimaliza mnalala juu yake tayari kwa kwenda kupakua makaburini kwa Kondo wamezika watoto wetu bila heshima kama Mbwa"
video zilitoka mkasema AI.kinyeo cha kuku weweBila video habari hii ihesabike kama propaganda tu za kuwasukuma watu wakafe zaidi Disemba 9
Laiti ungekua na macho ungeona ila najua utaishi na kuyaona yajayo.Bila video habari hii ihesabike kama propaganda tu za kuwasukuma watu wakafe zaidi Disemba 9
Ange screenshot akiwa mahabusu? Si wanachukua kila kitu?Hoja gani sasa za kijinga bizo,hana ushahidi anakuja na screen shot zake na shoga mwenzake anashare hapa na wewe unaziamini?
yaani serikali iwatumie mahabusu kwenye shughuli ya kufukia watu kwenye mass graves?teh teh teh...
Naam hakika wewe kweli ni Great thinkerKwamba ukishangaa unapigwa risasi ?!!!!;
Sisemi huu ni uongo lakini kila habari tuichukue with a pinch of salt....
mwisho wenu umefika ..mlikuwa mna wapumbaza watu na mipira ya simba na yanga huku mkifanya yenu ya kuhujumu taifa kwa maslai yenu na waarabu .....ila mwisho wenu umefika amta inuka kamwe shika haya maneno yanguNenda basi kawafukue,si umeshajua walipo?kelele za nini huku JF