donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
.
Hahaha, mkuu am way past that mambo ya kushika elimu saivi? Hahaha. Anyways ni fursa tu na kila mwanadamu ameandikiwa mapito yake.Hata ww unaweza ukawa kama jokate siku 1, cha msingi shikamana saana sana na masomo, piga sana shule, usifuate makundi..
Elimu ndo ufunguo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Hata ww unaweza ukawa kama jokate siku 1, cha msingi shikamana saana sana na masomo, piga sana shule, usifuate makundi..
Elimu ndo ufunguo
mbona Jokate hakuwa hivyo?Hata ww unaweza ukawa kama jokate siku 1, cha msingi shikamana saana sana na masomo, piga sana shule, usifuate makundi..
Elimu ndo ufunguo
Mkandamizaj unataka kusema tayar una phdHahaha, mkuu am way past that mambo ya kushika elimu saivi? Hahaha. Anyways ni fursa tu na kila mwanadamu ameandikiwa mapito yake.
Nko outdated na hii event ni ya juzi mkuu? Unless wewe uko so updatedpole sana mtoa mada inaonyesha uko outdated sana.
Bado napiga certificateMkandamizaj unataka kusema tayar una phd
Maisha hayana formula mkuumbona Jokate hakuwa hivyo?
maisha hayatabiriki hata wenye vyeti fake sasa ni wakuu wa mikoa/naibu rais
yaani wewe umenielewa na kupitiliza.Maisha hayana formula mkuu
Alimwambia waitara ni kheri kuwa na darasa la saba ila una akili kuliko kujiita umesoma ila akili hunayaani wewe umenielewa na kupitiliza.
Mcheki Msukuma anawasimanga PhD holder bungeni
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Alim
Alimwambia waitara ni kheri kuwa na darasa la saba ila una akili kuliko kujiita umesoma ila akili huna
Jamaa yule huwa nacheka sana anajiamini sana na huwa anawaambia hakuna kuogopana humu ndani[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yaani katika mawaziri waliofeli pr maghembe ni wa kwanza[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
mkuu mara nyingi ma PhD holders wengi wanabaki kuwa ma service man, hawawezi kuivisha chochote zaidi ya kuajiriwa tu, wafanye walichopangiwa pekeeYaani katika mawaziri waliofeli pr maghembe ni wa kwanza
Hahahahahaha mkuu ngoja nimuulize King Musukumamkuu mara nyingi ma PhD holders wengi wanabaki kuwa ma service man, hawawezi kuivisha chochote zaidi ya kuajiriwa tu, wafanye walichopangiwa pekee
ingependeza baada ya mazungumzo urishe clip hapa, napenda aina ya uwasilishaji wake huyo ngosha[emoji23]Hahahahahaha mkuu ngoja nimuulize King Musukuma
Hahahahahaha Ngosha yule ni shida ni ngosha halisi Hong Kong kwenyewe wanamjua king Musukumaingependeza baada ya mazungumzo urishe clip hapa, napenda aina ya uwasilishaji wake huyo ngosha[emoji23]