TANZIA Mama mzazi wa DC Jerry Muro afariki dunia

Ketoka

JF-Expert Member
Sep 23, 2015
1,087
1,913
Mama mzazi wa Mkuu wa wilaya Jerry Muro amefariki dunia ,mama Ankunda Muro amefariki usiku wa kuamkia leo 24.1.2021 katika hospitali ya Taifa Muhimbili

Poleni mkuu Jerry Muro kwa msiba mzito

1611557934435.png
 
Pole sana DC Muro ,kupoteza Mama /Mzazi Mungu awape faraja muweze kumlaza mpendwa wenu .
 
Ni sawa kila mtu atakufa, lazima this is too much 😭😭😭

Huyu malaika Gabriel ndiyo ameamua kutuchukua Watanzania namna hii, kila siku Tanzia tu.

Rest in peace Mum😭
 
Ni sawa kila mtu atakufa, lazima this is too much 😭😭😭

Huyu malaika Gabriel ndiyo ameamua kutuchukua Watanzania namna hii, kila siku Tanzia tu.

Rest in peace Mum😭
Too much ndio nini Grahams!?
Au kufa kwa huyu mama wa Jerry ndio too much?
Kwani January ya mwaka 2020 na mwaka 2019 walikufa watu wangapi hadi hii january ya 2021iwe ni too much?

Tusikufuru
 
Vifo vimekuwa vingi hapa tu jirani mama mmoja amefariki usiku huu.

Pole Jerry
 
Mama mzazi wa Mkuu wa wilaya Jerry Muro amefariki dunia ,mama Ankunda Muro ameriki usiku wa kuamkia leo 24.1.2021 katika hospitali ya Taifa Muhimbili

Poleni mkuu Jerry Muro kwa msiba mzito

Poleni sana ndugu, jamaa na familia ya Jerry Muro kwa kipindi hiki kigumu na cha majonzi mnachopitia kutokana na msiba wa mama yenu mpendwa, Mola awe pamoja nanyi. Amina.
 
Too much ndio nini Grahams!?
Au kufa kwa huyu mama wa Jerry ndio too much?
Kwani January ya mwaka 2020 na mwaka 2019 walikufa watu wangapi hadi hii january ya 2021iwe ni too much?
Too much ndio nini Grahams!?
Au kufa kwa huyu mama wa Jerry ndio too much?
Kwani January ya mwaka 2020 na mwaka 2019 walikufa watu wangapi hadi hii january ya 2021iwe ni too much?

Tusikufuru
It's all about developed pneumonia, when comes and knocks in your door you'll figure it out.
 
Back
Top Bottom