Aliyeko karibu na Polepole

Tupe hata za ndani basi mkuu yupo hai au ameshatangulia tulie na tuinuke tena😢
Kama sehemu ya mila wekeni msiba mle na kande za mahindi na maharage, huyo hatunaye mufa mrefu.
 
Kufufua huu uzi bila kusema alipo au alipozikwa Polepole ni kuumiza hisia za watu bure

Kuna huyu @Brittanica na yule aliyekuwa anajitambulisha kama Kaka yake, wote kwenye swala la Polepole wamezingua
britanicca aweza kuwa wakala wa mfumo, yaani informer. Anakuja na thread zake kama vile ana challenge Serikali ili apate wajinga kama Polepole, kisha wakijaa kwenye 18 yake anawalengesha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…