Na kweli leo dishi limeyumba.Leo jamaa dishi limeyumba anapost za kiduwanzi sana.
Aiseee, juzi ulituambia Mombo is gone. Na haikuwa. Leo tena una zandaani kumhusu Polepole.Awe makini mnooo
Sitafunguka sana
Nimeshapata access naye nimempa jambo fulan kwa ajili ya usalama wake !!!
Britanicca
Mkuu funguka, je wanamtandao wamekodi CIA au Watu kwenye Black market au?Awe makini mnooo
Sitafunguka sana
Nimeshapata access naye nimempa jambo fulan kwa ajili ya usalama wake !!!
Britanicca
Kujua anajua lakini kupewa tahadhari zaidi ni jambo jema sana. Unaweza kuwa unajilinda na maji kwasababu waliokuwa wanakutafuta waliweka mitego yao kwenye maji halafu kumbe ghafla wakaamua kubadili mbinu na kuanza kutafuta nyayo zakoBro unatafuta umaarufu ama nini? Mpaka Polepole mwenyewe anajuwa kuwa anawindwa, kuna mtu hii nchi hajui kuwa Polepole anapaswa kuwa makini?
Britannica ashakua wa ovyo siku hizi!! Anatufuta kiki kama wale mashhhogga akina Ommy dimpozBro unatafuta umaarufu ama nini? Mpaka Polepole mwenyewe anajuwa kuwa anawindwa, kuna mtu hii nchi hajui kuwa Polepole anapaswa kuwa makini?
Mbona siku zote anaweka pazia. Background ni AI tu. Sidhani kama anaweza kufanya makosa ya wazi hivyo. All in all tunamuombea sana M/Mungu amlinde, maana anachopigania ni kitu kikubwa sana mbele Zake. Mungu azidi kuwadhalilisha mafedhuli wakwapua mali za Watanzania. Waishie kudhalilika maisha yao yote.Polepole alianza kufanya mistake sometimes kuonyesha ile View na ile background kwenye ile nyumba yale ni makosa sana kama umeamua kupambana na watu kama Rostam CIA kabisa utakiwi kuonyesha background na view kama ya ile nyumba ni big mistake watu wanaweza kujua uko wapi ikabaki story
Jimama nataka unilee😂😂Mbona siku zote anaweka pazia. Background ni AI tu. Sidhani kama anaweza kufanya makosa ya wazi hivyo. All in all tunamuombea sana M/Mungu amlinde, maana anachopigania ni kitu kikubwa sana mbele Zake. Mungu azidi kuwadhalilisha mafedhuli wakwapua mali za Watanzania. Waishie kudhalilika maisha yao yote.
Polepole alianza kufanya mistake sometimes kuonyesha ile View na ile background kwenye ile nyumba yale ni makosa sana kama umeamua kupambana na watu kama Rostam CIA kabisa utakiwi kuonyesha background na view kama ya ile nyumba ni big mistake watu wanaweza kujua uko wapi ikabaki story
Ulituambia July litatokea jambo kubwa,leo tupo Septembre. Kuhusu Polepole kwa sumu anazotema,hilo lipo obvious kabisa.Awe makini mnooo
Sitafunguka sana
Nimeshapata access naye nimempa jambo fulan kwa ajili ya usalama wake !!!
Britanicca
Yanayotokea ni madogo ? Since July? Na wamelichelewesha makusudi subirivUlituambia July litatokea jambo kubwa,leo tupo Septembre. Kuhusu Polepole kwa sumu anazotema,hilo lipo obvious kabisa.
Nadhani ni kiroho, amekuwa akiongea kwa authority ya juu sana.Kuna kitu anachojua Polepole ambacho hatukijui.
Nakubaliana na ww mkuu, yanayotokea ni makubwa, maana hadi barua na mipango ya siri yanavuja, hii inamaanisha hadi kwenye mfumo wamegawanyika…Yanayotokea ni madogo ? Since July? Na wamelichelewesha makusudi subiriv