Aliyeko karibu na Polepole

Aliyeko karibu na Polepole

Polepole alianza kufanya mistake sometimes kuonyesha ile View na ile background kwenye ile nyumba yale ni makosa sana kama umeamua kupambana na watu kama Rostam CIA kabisa utakiwi kuonyesha background na view kama ya ile nyumba ni big mistake watu wanaweza kujua uko wapi ikabaki story
 
AI background ile, na sio background harisi
 
Polepole alianza kufanya mistake sometimes kuonyesha ile View na ile background kwenye ile nyumba yale ni makosa sana kama umeamua kupambana na watu kama Rostam CIA kabisa utakiwi kuonyesha background na view kama ya ile nyumba ni big mistake watu wanaweza kujua uko wapi ikabaki story
Ni green screen Ile.
 
NYAU wewe. Weka hapa matokeo yako ya siks. Eti una degree.

Degree mafii yako?

Mbusii wewee!
Wewe boya Mimi sikuwa advance , six nilimaliza 2021 nikakaa mwaka mmoja kitaa Kisha nikaanza chuo 2022 nimemaliza mwaka huu nasubiria graduation 🎓 na cheti .

Siwezi kutaja kizembe chuo nilichomaliza , ila ni chuo kikubwa mashuhuri Tz . Siwezi kukutajia hata kwa code usije ukaTrack taarifa zangu binafsi.

Sasa ninampango wa kuomba Scholarship nikajiendeleze Mamtoni , passport ninayo mda wote nipo mambele Maarass!!
 
Bro unatafuta umaarufu ama nini? Mpaka Polepole mwenyewe anajuwa kuwa anawindwa, kuna mtu hii nchi hajui kuwa Polepole anapaswa kuwa makini?
Huyu hatafuti umaarufu humu, he's already famous!
 
Wewe tena kwa kujifanya kalumanzila 😀😀,usimtishe mwenzio hamna mtu anaepoteza nae mida ni kajitu kadogo sana hako kakiroboto

Hov
 
Back
Top Bottom