yes.......waislamu wanjaribu kutumia ujanja kulazimisha serikali kushindwa kuongoza...yaani serikali itende kwa matakwa yao......si unaona wanavyotoa vitisho kwa nyakati tofauti na kwa mambo tofauti?..wameshaitishia kutoipigia kura ccm km haitaweka sawa suala la mahakama ya kadhi wakati tz sio ccm tz ni sisi wananchi na serikali haina dini.......
Wanai-manipulate Serikali,hasa kwa kipindi hiki nyeti cha uchaguzi,wanachelea kukosa kura wanazohitaji ili washinde kwa kishindo..........yes.......waislamu wanjaribu kutumia ujanja kulazimisha serikali kushindwa kuongoza...yaani serikali itende kwa matakwa yao......si unaona wanavyotoa vitisho kwa nyakati tofauti na kwa mambo tofauti?..wameshaitishia kutoipigia kura ccm km haitaweka sawa suala la mahakama ya kadhi wakati tz sio ccm tz ni sisi wananchi na serikali haina dini.......
Suala linalojadiliwa hapa ni sheria. Je hakimu ndiye alikiuaka sheria au huyo mzee.Huwezi mtu vunja sheria za nchi kwa kisingizio cha uzee au utoto.Kama ingekuwa hivyo nchi isingetawalika.JAMANI..ili kuwa objective binafsi nionavyo, Hakimu alitumia madaraka yake excessively katika kuaddress uvaaji wa barakashia mahakamani.Ki etiquette ya mahakama, kofia huvuliwa mtu awapo kizimbani.
Sasa huyu mzee wa miaka 60, ukimfunga kwa vile kakataa kuivua, angeweza kumwelewesha tu kuwa akiwa anaenda mahakamani siku nyingine ajue huo uvaaji hautakiwi.Angeweza pia akamezea maadam mtu wa miaka 60 ni mzee na huu ni mwezi wa mfungo.
Mimi siliangaliii hili suala kwa misingi ya dini bali ni kwa misingi ya matumizi ya busara tu....Kukosekana busara kumepelekea kuamsha sensitivities nyingine which are uncalled for.
utakata rufaa ngapi?
I)pingamizi la dk slaa kwa kikwete
2)kukimbia kwa wabunge wachadema kwenda ccm
3)kesi za chenge, mramba dhidi ya ufisadi
4)
5)
Hawa akina Wilb. ndivyo walivyo.Wana chuki sana na waislamu na wanapenda kutumia nafasi zao kutekeleza chuki.
Yapo maeneo mengi ambako mavazi yetu waislamu ati hayafai.Tunasubiri siku ikifika tutampelekea Jaji kiongozi.
Hawa akina Wilb. ndivyo walivyo.Wana chuki sana na waislamu na wanapenda kutumia nafasi zao kutekeleza chuki.
Yapo maeneo mengi ambako mavazi yetu waislamu ati hayafai.Tunasubiri siku ikifika tutampelekea Jaji kiongozi.
Hawa akina Wilb. ndivyo walivyo.Wana chuki sana na waislamu na wanapenda kutumia nafasi zao kutekeleza chuki.
Yapo maeneo mengi ambako mavazi yetu waislamu ati hayafai.Tunasubiri siku ikifika tutampelekea Jaji kiongozi.
Suala linalojadiliwa hapa ni sheria. Je hakimu ndiye alikiuaka sheria au huyo mzee.Huwezi mtu vunja sheria za nchi kwa kisingizio cha uzee au utoto.Kama ingekuwa hivyo nchi isingetawalika.
WOS kwenye hii thredi huna substance. Credibility yako inashuka.
Mkuu hivi unaakili wewe ama? Nimesema nitaka rufaa wa baragashia arudi jela hiyo orodha umeitoa Madrasa
Hivi yule hakimu alikuwa ana hukumu kofia au alitakiwa kusimamia haki..hizi shule za st. nuksi yeye anaangalia kofia..
Anyway, tuliwapa siku saba baada ya siku tatu wakamtoa mwananchi wetu...
Mean while, tunashughulikia swala la huyu hakimu anafaa kuwepo mahakamani kwenye chombo cha haki? elimu yake vipi? ukute kasoma kanuni za kanisa? unajua naye ni wilbod eti?
tuko pazuri anaweza kutupwa rukwa kwanza aonje joto la kijijini akirudi atakuwa na akili timamu...
Hapo kwenye bold nyekundu ndio napataga shida sana kuelewa. Hivi jambo linapojadiliwa ni lazima kuingiza kashfa hata pale ambapo hapahusu?
Unapotukana shule za st... ilhali hata wasiohusika na st..hupeleka watoto wao huko ina maana mtu unahulka tu ya kutukana bila sababu?
Kwenye bold nyeusi - hapo ndipo hufanya mtu ajiulize, je, mwenye hoja kama hizi ana kisomo chochote kinachomsaidia kufafanua mambo au ni mradi kaingia darasani akatoka na cheti!
Kwamba huyo hakimu atatupwa rukwa au wapi huna mamlaka nalo. Kwamba ali overstep authority na kutoa excessive punishment inaweza ikawa ndio issue..issue siyo kuuchukia uislam wala kupendelea dini yoyote.
uvaaji wa kofia (hats) unakatazwa mahamaki kwa sababu unachukuliwa kuwa ni ukosefu wa heshima ( kimsingi wa mtazamo wa mkoloni, huwezi kuongea na mtu unae muheshimu na ukavaa kofia kwa mila na taratibu za ki western)
suala linakuja Tanzania kuvaa kofia kama baraghashia ni uvunjaji wa heshima? mbona bungeni watu wanavaa? mbona makazini vile vile?
suala jengine, jee kifungo cha miezi sita ilikuwa ni hukumu stahili hata kama kama kosa lilitendeka?
kama alivaa kofia kama kofia hivyo inavyovaliwa kikawaida bila ya kuonyesha dharau ya aina yoyote, basi sheria si dhani kama ilikuwa ikimruhusu hakimu kutoa hukumu kali kiasi kile