Aliyefungwa kwa baraghashia yu huru

Webabu

JF-Expert Member
Apr 29, 2010
7,138
10,849
Hawa akina Wilb. ndivyo walivyo.Wana chuki sana na waislamu na wanapenda kutumia nafasi zao kutekeleza chuki.
Yapo maeneo mengi ambako mavazi yetu waislamu ati hayafai.Tunasubiri siku ikifika tutampelekea Jaji kiongozi.
 
Wakristu hatuna umoja kabisa.

Dini yetu ikidhalilishwa na akina ze komedi, au muumini akionewa na mahakama huwa hatulaani wala kuitisha maandamano.

Maaskofu na hata kadinali wasingeweza kutoa tamko lolote.
 
Hakimu Luhwago ni reflection ya utendaji wa chombo chetu cha kutoa haki!
 
Wakristu hatuna umoja kabisa.

Dini yetu ikidhalilishwa na akina ze komedi, au muumini akionewa na mahakama huwa hatulaani wala kuitisha maandamano.

Maaskofu na hata kadinali wasingeweza kutoa tamko lolote.
Mkuu wewe ni mkristo kweli?
 
Tutakata rufaa huyu jamaa lazima arudi jela, Hakuna mahakama ya Kadhi ndani ya jamhuri.
 
Chakusikitisha ni muhusika hakukata rufaa, bali tamko la waislam limewatisha majaji na mahakimu, na wao kuishia kusema "Yanini malumbano".

Yaani haki inatolewa baada ya vitisho.
 
Siyo kwamba hatuna umoja hivi kila mwenye dini yake aking'ang'ania vazi lake mahakamani kutaeleweka kweli. Embu ndugu zangu niwaulize baraghashia si kofia? Isitoshe kuna kuna sheria imetamka kuhusu kutoruhusu uvaaji wa kofia mahakamani. Kuna ya muhimu jamani ya kuweka mgomo kimaendeleo
 
utakata rufaa ngapi?
i)pingamizi la dk slaa kwa kikwete
2)Kukimbia kwa wabunge wachadema kwenda ccm
3)kesi za chenge, mramba dhidi ya ufisadi
4)
5)

Mkuu hivi unaakili wewe ama? Nimesema nitaka rufaa wa baragashia arudi jela hiyo orodha umeitoa Madrasa
 
Wamezidi kutuchezea sana sisi waislamu. Si huyo tu, inawezekana ni makumi kwa mamia ya waislamu wanafungwa kwa uonevu na chuki za kidini. Kwani hamkumbuki ya HAMISI DIBAGULA kule Morogoro? Mifano hiyo miwili imefahamika kwa kuwa imetokea mjini, sipati picha uoonevu unaofanyika vijijini kwa watu wasio na sauti na pia hakuna vyombo vya habari. Pia hakimu huyo atapata adhabu gani kutoka kwa wakubwa zake kwa adhabu ya kilevi kama hiyo???
 
Tutakata rufaa huyu jamaa lazima arudi jela, Hakuna mahakama ya Kadhi ndani ya jamhuri.

Mchungaji "mtakata rufaa" nyinyi ni akina nani? waliomfunga ni serikali na wao wamemwachia huru...au mkuu kuna mkono wa Dr./Padre...Mchungaji Masa...??
 
Kwani hamkumbuki ya HAMISI DIBAGULA kule Morogoro?
Mkuu umenikumbusha dictum ya Samatta J, (as he then was) katika hukumu ya DIBAGULA, alisema ukisema Yesu si Mungu,hujakosea popote katika sheria ya nchi, akamwachia Dibagula huyooo...Mzee anajuwa sheria yule!
 
Yule mzee mwenye miaka yake sitini aliyehukumiwa adhabu ya miezi gerezani ameachiwa huru baada ya bakwata kuingilia kati na kumtetea.
Imethibitishwa hamna kifungu cha sheria kinachokataza uvaaji wa baraghashia mahakamani.
Habari ndio hiyo
 
Malaria Sugu, Kanda2, Nostradamus, Padri, Dubo, na Tumaini ni wasemaji wa kampeni ya Kikwete JF na walio baki ni wasemaji wa kampeni ya mkware Slaa.








hongera kwa kuwa msemaji wa kampeni ya mkware slaa.
 
jamani yeye kadharau mahakama...........mahakama ni chombo cha serikali na ni serikali.........serikalio haina dini..........kwa hiyo lazima tutii amri za mahakama kwa kuweka pembeni vijimambo vyetu vya dini................kitendo cha kuwaruhusu waislamu kuendelea kudharau mahakama hakiwezi kuendelea kufumbiwa macho...............waislamu walitoa amri hiyo kwa serikali /mahakama mbele ya rais kikwete wakiitaka serikali imwachie faster na imefanaya hivyo..........waislamu hao hao wam,eendelea kuvunja hata katiba ya nchi kwa kumlazimisha kikwete kushughulikia swala la mahakama ya kadhi nalo waliishampa masharti............siamini km kweli tuko serious na tuko tayari kuchezea mamlaka zilizopo kiasi hiki..........yaani selikari inaamua kwa makusudi kuona ni suala la dini na sio uvunjaji /kudharau mahakama?
KWA MWENDO HUU HATUWEZI KUFIKA
 
Wapendwa nimewasiliana na wanasheria ni kosa kuvaa kufia kwa kufunika sehemu kubwa ya Uso. Hakimu alipitisha hukumu halali sababu si mara ya kwanza Ally Sururu kupelekwa mahakamni kwa makosa mbali mbali. Bado ana kesi nyingi za kujibu. Huwezi kuvaa hicho kibandiko mahakamani.
 
yes.......waislamu wanjaribu kutumia ujanja kulazimisha serikali kushindwa kuongoza...yaani serikali itende kwa matakwa yao......si unaona wanavyotoa vitisho kwa nyakati tofauti na kwa mambo tofauti?..wameshaitishia kutoipigia kura ccm km haitaweka sawa suala la mahakama ya kadhi wakati tz sio ccm tz ni sisi wananchi na serikali haina dini.......
Wapendwa nimewasiliana na wanasheria ni kosa kuvaa kufia kwa kufunika sehemu kubwa ya Uso. Hakimu alipitisha hukumu halali sababu si mara ya kwanza Ally Sururu kupelekwa mahakamni kwa makosa mbali mbali. Bado ana kesi nyingi za kujibu. Huwezi kuvaa hicho kibandiko mahakamani.
 
Back
Top Bottom