Aliyedai kuwa mtoto wa Lowassa akamatwa na Polisi. Ni baada ya kuomba radhi

hivi ninyi Watanzania dhaifu......ina maana Bashite kawashinda kabisa kabisa?
 
Mhe.Godbless Lema anaeleza kuwa dada aitwaye Fatuma Chikawe aliyedai yeye ni mtoto wa Lowassa kabla ya jana kukanusha taarifa hizo na kusema alitumiwa na watu kumchafua Mzee Lowassa, leo mchana amefuatwa nyumbani kwake Kigamboni na watu waliojitambulisha kuwa ni askari polisi na pumueleza kwamba anahitajika ofisini kwa RC. Tangu achukuliwe hadi muda huu hajarudishwa, na hapatikani kwenye simu.!
Eti amechukuliwa, as if it was a parcel!

Pamoja na shida ya watu wasiojulikana, bado tu watu wanakubali kuondoka na watu wasiowajuwa? Bila uthibitisho kuwa watu hao siyo hatari?
 
Kwa nini Paul Makonda anafanya haya mambo ya kishenzi na boss wake anamlinda tu?
Nchi inakabiliwa na changamoto nyingi kama mgawo wa umeme,mafuriko,njaa utekaji,mauaji na kila aina ya madhila!
Watanzania tumechoshwa na ushenzi wa huyu mtu!!!!
Kuwa msukuma kisitumike kama kijezo cha kuteuliwa kuwa mtumishi wa serikali!
 
Waliomchukua Azory nao walienda pamoja naye mpaka kwa mkewe kumuaga bila shaka walimuaminisha mkewe na hivyo kutokuwa na wasiwasi nao.

Kwanini apelekwe kwa Bashite na siyo kwa Mwigulu? Kwa kosa lipi hadi apelekwe kwa Bashite? Polisi siku hizi wako chini ya Bashite badala ya Wizara ya mambo ya ndani?

Mkuu siyo watu wasiojulikana tena, tayari wamejitambulisha wao ni ofisa wa polisi na kumpeleka ofisi ya DAB..mkuu wa kitengo.
 
ISIJE kuwa chadema magenge ya akina Lema wamemteka halafu Lema anawapaka matope polisi.Hii spidi ya kuwa ghafla msemaji wa familia inatia shaka,there is something fishy.Polisi mkamateni Lema haraka awasaidie upelelezi
Akili yako ina shida kubwa mahali.....kama si tatizo la ukoo unaotoka basi ni ushamba unakusumbua......stupid!!
 
ISIJE kuwa chadema magenge ya akina Lema wamemteka halafu Lema anawapaka matope polisi.Hii spidi ya kuwa ghafla msemaji wa familia inatia shaka,there is something fishy.Polisi mkamateni Lema haraka awasaidie upelelezi
Hahaha unapenda sana kusikia unavyovipenda tu,utapata magonjwa relax aise
 
Amekamatwa kwa kosa la kugairi kumchafua Lowasa wakati amekula pesa ya Bashite aliyolipwa afanye agizo.
 
ISIJE kuwa chadema magenge ya akina Lema wamemteka halafu Lema anawapaka matope polisi.Hii spidi ya kuwa ghafla msemaji wa familia inatia shaka,there is something fishy.Polisi mkamateni Lema haraka awasaidie upelelezi
Ni kawaida yako kutumia wrong angle ufanyapo conclusion! Ulitaka Lema akipata taarifa azikalie ili iweje? Nikisema hata wewe unajua kilichomtokea huyo binti unakijua na ndio maana unawaalika polisi wamkamate mleta taatifa ili kujificha nitakuwa nimekosea? Acheni utoto wenu na ushamba, na tumieni busara kwani dunia ipo kiganjani!
 
watu hawajui kuimba yaan wanatafta namna ya kupata pesa ila kila mchongo unabuma
Hawa wanapopotea tusiwatafte maana mkuu wa mkoa ameshindwa kuwakatia ekari za kulima badala yake anawapa pesa
 
Back
Top Bottom