Kuchora ramani ya ulimwengu si kwamba mtu alitokea tu,akaanza kuchora.Hapana! Jamani ramani ya ulimwengu ilichukua muda mrefu sana,watu walitumia mamia ya miaka,ukisoma historia kuna waliosema kipindi hicho kwamba dunia ni circle,mwingine akaja na kumrekebisha na kusema dunia ni tufe na ina umbo kama yai, Ramani ya dunia ilikuwa ikichorwa kwa malengo tofauti yaani kisiasa mtu kufaham eneo lake la utawala linaishia wapi,wengine walichora ramani kwa ajili ya maslahi yao binafsi.Hivyo watu walifanya utafiti kuhusu ramani ya ulimwengu kwa mamia ya miaka.Ukisoma geography mambo ya map kuna techinics nyingi sana za kuchora ramani ukiwa chini ya ardhi,hivyo naweza sema geography ilikuako miaka mingi sana iliyopita,mpaka kufikia mwaka 1871 ndugu wawili walioitwa Wright brothers ambao walikuwa na duka la baiskeli huko marekani ndn walikuwa wa kwanza kupaisha ndege yao, kwa hiyo nayo ilisaidia kiasi fulani kuboresha ramani kwa kupiga picha za aerial photographs, pia uvumbuzi wa satellite ya kwanza ya umoja wa kisoviet mnamo 1957 pia ulisaidia kuboresha zaidi na vipimo halisi kabisa mpaka watu kufahamu kipenyo cha ulimwengu na uzito wa dunia.Mtu kama Galileo ambae alitengeneza telescope ya kwanza,akasema dunia inazunguka jua,waroma walimuua wao walikuwa wakiamini kuwa jua ndo linazunguka dunia,teh teh! teh! teh! jamani kuchora ramani ya ulimwengu usifananishe na kuchora ramani ya nyumba. Watu wametia nguvu bwana asikuambie mtu.