Aliyechora ramani ya dunia msaada

Aliyechora ramani ya dunia msaada

Hapo ndo utajua wazungu sio wenzetu ila tu ramani ya dunia haikuchorwa siku moja imechorwa miaka mingi tena na watu tofautitofauti. walitumia vitu vingi zikiwemo kamera zenye uwezo mkubwa kutoka kwenye sattelites zilizoko juu angani.
 
Hapo ndo utajua wazungu sio wenzetu ila tu ramani ya dunia haikuchorwa siku moja imechorwa miaka mingi tena na watu tofautitofauti. walitumia vitu vingi zikiwemo kamera zenye uwezo mkubwa kutoka kwenye sattelites zilizoko juu angani.

Kwani we bingwa ulidhani wazungu wenzetu!

Teh teh teh teh!

Hawana maana wale! Mabepari wahedi!
 
umetoa jibu zuri sana Mkuu,Nashukuru na Mimi nimefaidika Kwa elimu hii.Kunawengine humu kwao jambo la maana ni ngono tu,tuwasamehe bureeeeee

KIBURUDISHO swali lako ni muhimu saana!
Japo watu wasio jua jibu wanaleta mzaha na kejeli kwako!

Jibu ni kuwa

Ramani ya dunia imechorwa kutoka na jitihada ya
wavumbuzi mbalimbali ambao wametembea kuzunguka dunia.
Na wakusanyaji mbalimbali wa ramani za nchi tofauti na mipaka yake.
Ilichukua miaka miiingi sana kuipata ramani tulionayo leo.

Kama utarejea kwenya geographic maps za awali kabla ya ugunduzi wa kamera na upaaji wa angani! Basi ramani zile zilikuwa na ulakini mwingi! Na kasoro nyingi mno,
Na zimefanyiwa maregebisho mengi sana!

Baada ya uvumbuzi wa kamera na uwezo wa mwanadamu kupaa angani kwa kutumia vyombo mbalimbali

Hapo ndipo tulipoweza kupiga picha ya mkoa kwa mkoa. Nchi kwa nchi. Bara kwa bara.
Na hatimae kuziweka pamoja na kupata ramani tulionayo leo.

Asante kwa kuuliza

Na kama kuna lingine uliza usione aibu!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom