KIBURUDISHO
JF-Expert Member
- Mar 28, 2011
- 1,002
- 278
Huenda alitumia ArcMap 10.0 Gis software
ArcMap 10.0 haikuwapo wakati huo.Huenda alitumia ArcMap 10.0 Gis software
Habari za asubuhi humu jamvini natumai mko poa,Nasumbuliwa na hili swali hivi aliyechora ramani ya dunia alitumia nini na teknolojia gani kuichora ramani ya dunia? Na alikuwa amesimama wapi wakati anachora ramani hiyo?
Nawasilisha swali hili mbele yenu.
Mkuu kwani we huwezi kuchora ramani ya sebule yako ukiwa ndani ya sebule?
Sasa mkuu unaona tofauti gani na alivyolinganisha jamaa? Labda swali limekaaa vibaya.Hapo mkubwa umefananisha vitu viwili visivyolingana kabsa yaan
Habari za asubuhi humu jamvini natumai mko poa,Nasumbuliwa na hili swali hivi aliyechora ramani ya dunia alitumia nini na teknolojia gani kuichora ramani ya dunia? Na alikuwa amesimama wapi wakati anachora ramani hiyo?
Nawasilisha swali hili mbele yenu.
Mkuu kwani we huwezi kuchora ramani ya sebule yako ukiwa ndani ya sebule?
Habari za asubuhi humu jamvini natumai mko poa,Nasumbuliwa na hili swali hivi aliyechora ramani ya dunia alitumia nini na teknolojia gani kuichora ramani ya dunia? Na alikuwa amesimama wapi wakati anachora ramani hiyo?
Nawasilisha swali hili mbele yenu.
Kichuguu hahahaaa!:bored:Ramani ya dunia ilipatikana baada ya combination ya mambo mengi ikijumuisha maoni ya uncle pmwasyoke. It is illogical kusema kuwa: 'aliyechora ramani ya dunia'. Hivi kweli mtu mmoja tu angeweza vipi kuchora ramani ya dunia? Zoezi la kuchora ramani ya dunia si jambo jepesi kama vile unavyoweza kusimama ktk kichuguu na kuanza kuchora ramani .
Naomba kukuliza swali, unapouliza kuwa huyu aliyechora ramani ya dunia alikuwa amesimama wapi unamaanisha nini?
Habari za asubuhi humu jamvini natumai mko poa,Nasumbuliwa na hili swali hivi aliyechora ramani ya dunia alitumia nini na teknolojia gani kuichora ramani ya dunia? Na alikuwa amesimama wapi wakati anachora ramani hiyo?
Nawasilisha swali hili mbele yenu.
Naomba kukuliza swali, unapouliza kuwa huyu aliyechora ramani ya dunia alikuwa amesimama wapi unamaanisha nini?
KIBURUDISHO swali lako ni muhimu saana!Habari za asubuhi humu jamvini natumai mko poa,Nasumbuliwa na hili swali hivi aliyechora ramani ya dunia alitumia nini na teknolojia gani kuichora ramani ya dunia? Na alikuwa amesimama wapi wakati anachora ramani hiyo?
Nawasilisha swali hili mbele yenu.