KIBURUDISHO
JF-Expert Member
- Mar 28, 2011
- 1,002
- 278
Habari za asubuhi humu jamvini natumai mko poa,Nasumbuliwa na hili swali hivi aliyechora ramani ya dunia alitumia nini na teknolojia gani kuichora ramani ya dunia? Na alikuwa amesimama wapi wakati anachora ramani hiyo?
Nawasilisha swali hili mbele yenu.
Nawasilisha swali hili mbele yenu.