Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,740
- 82,104
Hahaha babu mimi kinga yangu ya corona ni ugoro tayari nishaandaa siku ikiingia tu natumia.Yaani unamshauri huyo chalii aache kutumia kinga ya corona? Au ulikuwa hujui? Usijesema hujui pia kuwa kitimoto ni kinga ya HIV... ntakushangaa my dia mjukuu
Nahisi nipo likizo tu maana kuna siku nikiamua naweka crate ghetto nakunywa taratibu huku nikisoma nyuzi JF.
AstaghafirulilahHahaha babu mimi kinga yangu ya corona ni ugoro tayari nishaandaa siku ikiingia tu natumia.
Unataka kuvujisha siri za ndani sasa mamalai 😂😂Hujui chalii akinywa pombe anavyokuwa,niulize mimi😭😭
Heri apate corona kuliko kukutana na chalii aliyeonja k vant aseee!
Hiyo ngurue ni haramu dia babu
My dia mjukuu... tangu lini kinga ikawa haramu?Hujui chalii akinywa pombe anavyokuwa,niulize mimi😭😭
Heri apate corona kuliko kukutana na chalii aliyeonja k vant aseee!
Hiyo ngurue ni haramu dia babu
Unataka kuvujisha siri za ndani sasa mamalai 😂😂
Nitafute jukwaani kesho kuanzia mida ya jioni.Siku ukinywa niambie nione mwandiko wako wa kilevi basi
My dia mjukuu... tangu lini kinga ikawa haramu?
Kwanini sasa unafanya hivyo?Nitafute jukwaani kesho kuanzia mida ya jioni.
Huyu mzee wala hanipi tabu dawa yake kVant tu anatulia.Babu yangu nae ni mtu wa ndani ujue,asa hapa ndio nakusemelea
Japo najua nae ni chama moja lakini nakusemea hivyo hivyo
Ngoja nikuPM nikuambie.Kwanini sasa unafanya hivyo?
Ngoja nikuPM nikuambie.
Hutaki au?Muongo ☻
Hutaki au?
Ukifanya hivyo utakosa maisha ya raha duniani na mbinguni kama ipoNatamani nisionje pombe maishani mwangu.
Vyema kabisa kiongozi kitu kinachopelekea mtu kula spirit ni huu uchumi wa awamu ya 5Light inakufanya ukae bar muda mrefu zaidi kabla network haijaanza kusumbua. Faru jon unatakiwa uinywe siku za muambo lkn kama jumamosi una pesa ya kutosha, light is the way to go.
Sio kweli ,wapo matajiri na ela nyingi Sana lakini bia mara chache,wanapendelea spirit,utawakuta na kvant,jackdaniel,captain Morgan .n.kVyema kabisa kiongozi kitu kinachopelekea mtu kula spirit ni huu uchumi wa awamu ya 5
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiyo sehemu pekee hata maskini wa kipato cha chini na fukara kama mimi anaweza ku enjoy starehe ya muda na akasahau matatizo yake...akatabasamu tena...
Nilikuwa na ka elfu kumi, nimepiga light 6 hela imekata nimebakiwa na na buku tu maana bia ni buku jero hapa... sasa muda huu nakwenda kwa wakala nikatoe ka akiba kangu.. kabla hawajafunga.
Nani anaijua kesho bwana....bia ni tamu sana...na maisha ni mafupi...
Mi ni maskini jeuri, sipendi ushauri wa kijinga...
Bia ni taam aisee!! Nachokipenda inakusahaulisha ujinga ujinga unaendelea nchini...!! hata kama ni kwa muda tu sijali...!!
Inawezekana pia kwani hii wizara ni pana sana, asante kwa kuniweka sawaSio kweli ,wapo matajiri na ela nyingi Sana lakini bia mara chache,wanapendelea spirit,utawakuta na kvant,jackdaniel,captain Morgan .n.k