Aliyebuni pombe ana akili sana

Hapo kuna mabarmaid wengi waliojaziajazia kwa nyuma mkuu
Hapo kwenye ma bar meid mkuu akili mu kichwa...mwanaume hafundishwi..huwa anajifinza mwenyewe
 
FUSO Cha kushangaza stim zikishapanda konyagi huwa linashuka kama maji, unajiona kama umelizoea iv mpaka linakuzimisha
 
Bora ufe na hii corona ukiwa umelewa
Ahmada umelewa.....

Sent using Jamii Forums mobile app
Ma mbegesa Corona watakufa wachina hadi wajambe...ngozi nyeusi na korona wapi na wapi....

Sisi tuna matatizo yetu sugu na Mwenyezi Mungu anayajua sisi Korona...sijui Toyota Corolla wapi na wapi?
 
Sawa mzee baba, vuta raha.

Mimi niko nacheck mieleka tu hapa geto.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivyo vi Lite sita mbona ni vya kukata kiu tu? Hivuo hata my dia Joanah anavifyeka ndani ya nusu saa. Next time hiyo buku kumi agiza K Vant chupa kubwa uongeze ufanisi wa kuongea kimombo na kurudi home kishujaa... afu kesho wala hukumbuki ulikutana na majanga gani njiani..

Ana kheri sana aliyevumbua K Vant
 
Who will deny that, drunkness is nothing but voluntary madness?
 

Vi Lite ndio vitu gani hivyo dia babu?unanisingizia ujue
 
Umestaafu siku hizi???πŸ™†πŸ™†

Hebu nimshawishi yule mchumba angu mwingine wa JF nae astaafu
Yaani unamshauri huyo chalii aache kutumia kinga ya corona? Au ulikuwa hujui? Usijesema hujui pia kuwa kitimoto ni kinga ya HIV... ntakushangaa my dia mjukuu
 
Umestaafu siku hizi???πŸ™†πŸ™†

Hebu nimshawishi yule mchumba angu mwingine wa JF nae astaafu
Nahisi nipo likizo tu maana kuna siku nikiamua naweka crate ghetto nakunywa taratibu huku nikisoma nyuzi JF.
 
Yaani unamshauri huyo chalii aache kutumia kinga ya corona? Au ulikuwa hujui? Usijesema hujui pia kuwa kitimoto ni kinga ya HIV... ntakushangaa my dia mjukuu

Hujui chalii akinywa pombe anavyokuwa,niulize mimi😭😭
Heri apate corona kuliko kukutana na chalii aliyeonja k vant aseee!

Hiyo ngurue ni haramu dia babu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…