Daz911
JF-Expert Member
- Aug 1, 2018
- 744
- 1,251
Mbona wanatafuta vazi la taifa, Tungetakiwa tuvae hiviSalama wandugu
Leo ni jumapili tulivu kabisa baada ya ibada Sasa nimetulia na dodoma wine ya bariiiid Sasa Leo siyo siku ya kupasua kichwa kufikirisha Mambo ya maisha Leo unafikiria Mambo mtambuka,haya wote tujiulize hii nembo ya ikulu huyu mbunifu akamvalisha mwanaume gauni huu si ndio kushabikia ushoga na kuutangaza huenda Watanzania wote na Mzee NYERERE tulikuwa hatujui.
View attachment 2050077
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app