Mzalendo Uchwara
JF-Expert Member
- Jan 26, 2020
- 5,121
- 15,860
Bibi hana tatizo, labda huyo bwana aliyevaa kigauni.
Hawajui wasemalo wanatumia maneno ya kisiasa tuKwa hiyo Mkuu wanaozungumzia kujistiri wanatupotisha kama Taifa?
Bora ya kwetu, huyu jirani yeye hana binadamu, ana wanyama tu ndiyo walinzi na watoa burudani ya ngoma, na mtungini unaovuja maji
Wachoraji hupewa Terms of ReferenceView attachment 1855783
Aliyechora hii alikuwa na uhanga tu. Kulikuwa na haja gani ya kuweka hii dushulele, tena kama vile ya binadamu?
Aliwazalo mjinga ndilo linalomtokea
PumbavuWasubiri wenzako wakujibu, mimi nilishahamia zangu Burundi.
Pumbavu huna akili.Salama wandugu
Leo ni jumapili tulivu kabisa baada ya ibada Sasa nimetulia na dodoma wine ya bariiiid Sasa Leo siyo siku ya kupasua kichwa kufikirisha Mambo ya maisha Leo unafikiria Mambo mtambuka,haya wote tujiulize hii nembo ya ikulu ilikuwa email huyu mbunifu akamvalisha mwanaume gauni huu si ndio kushabikia ushoga na kuutangaza huenda Watanzania wote na Mzee NYERERE tulikuwa hatujui.
View attachment 2050077
ZUZU WEWEPumbavu huna akili.
ZUZU WEWEAliwazalo mjinga ndilo linalomtokea
Litakuwa pepo la ushoga linakusumbua wewe, siyo bure. Hilo vazi linaitwa "toga" na ni style ya mavazi ya WamasaiSalama wandugu
Leo ni jumapili tulivu kabisa baada ya ibada Sasa nimetulia na dodoma wine ya bariiiid Sasa Leo siyo siku ya kupasua kichwa kufikirisha Mambo ya maisha Leo unafikiria Mambo mtambuka,haya wote tujiulize hii nembo ya ikulu huyu mbunifu akamvalisha mwanaume gauni huu si ndio kushabikia ushoga na kuutangaza huenda Watanzania wote na Mzee NYERERE tulikuwa hatujui.
View attachment 2050077