Nembo za Taifa hubuniwa kwa lengo la kuwakilisha au kulitangaza Taifa ambapo kila Taifa lina nembo zake.
Nembo za mataifa huwa na vitu ndani yake kama vile mazao, milima, wanyama, n.k.
Nembo ya Taifa letu ya maarufu kama 'Bibi na Bwana' nayo ina vitu kadhaa ikijumuisha mazao, mlima, pembe za ndovu na binadamu wawili (jinsia ya me na ke)
Naomba kujuzwa aliyebuni nembo yetu alilenga nini kumuweka mwanamke aliye kifua wazi na mchirizi wa matiti unaonekana? Maana tunasema kwa maadili ya Taifa letu mwanamke akitembea kifua wazi kama yule wa kwenye nembo watasema hana maadili na atazodolewa sana ndiyo maana hata bungeni mliona kuna aliondolewa.
Sasa ndiyo kusema yule Bibi kwenye nembo anawakilisha utamaduni wa watanzania wa kuvaa vile au au alilenga nini? Kwanini hakumuweka awe na nguo inayomsitiri mwili wake? Au ndiyo vazi la Taifa?
Wajuzi tujuzeni