MakinikiA
JF-Expert Member
- Jun 7, 2017
- 5,698
- 7,884
Nina familia na mvi zimeanzaWe mleta mada umezaliwa mwaka gani ? Kabla sijakujibu....

Amevaa rubega hajavaa gauniSalama wandugu
Leo ni jumapili tulivu kabisa baada ya ibada Sasa nimetulia na dodoma wine ya bariiiid Sasa Leo siyo siku ya kupasua kichwa kufikirisha Mambo ya maisha Leo unafikiria Mambo mtambuka,haya wote tujiulize hii nembo ya ikulu huyu mbunifu akamvalisha mwanaume gauni huu si ndio kushabikia ushoga na kuutangaza huenda Watanzania wote na Mzee NYERERE tulikuwa hatujui.
View attachment 2050077
Salama wandugu

HahahaaaaSalama wandugu

HahahahahahWasubiri wenzako wakujibu, mimi nilishahamia zangu Burundi.
Gauni tena!!'',hii nchi ina watu,,naghaili siendi tena Burundi.
Una hamu ya kukamuliwa makalio?Msssssenge
Mvi za 0 labda [emoji23][emoji1787]Nina familia na mvi zimeanza
Ni nembo ya Taifa mkuu sio IkuluSalama wandugu
Leo ni jumapili tulivu kabisa baada ya ibada Sasa nimetulia na dodoma wine ya bariiiid Sasa Leo siyo siku ya kupasua kichwa kufikirisha Mambo ya maisha Leo unafikiria Mambo mtambuka,haya wote tujiulize hii nembo ya ikulu huyu mbunifu akamvalisha mwanaume gauni huu si ndio kushabikia ushoga na kuutangaza huenda Watanzania wote na Mzee NYERERE tulikuwa hatujui.
View attachment 2050077
Siyo kosa lako ukuuliza kutaka kujua ila umeuliza kwa dhiaka na kejeli...ila kwakuwa sijui umri wako na kabila lako basi ni dhahiri hujui tamaduni za makabila ya mwambao hivyo jitahidi kuuliza kabla yakuropoka upuuzi Mwambao nguo zao ni shaka na imeshonwa kama mshono wa debe hivyo ndiyo yalikuwa mavazi na unaweka mtandio. Nimejitahidi kukuelimisha maana kuna msemo mmoja ukimuelimisha mpumbavu mmoja ataelimisha wajinga wengine.Salama wandugu