Aliyebuni mfumo wa namba za Magari alikosea

Aliyebuni mfumo wa namba za Magari alikosea

Ukifanya calculations kwa zile tarakimu tatu ukichanyanya na herufi 3 unapata maelfu ya namba tofauti.
MFANO: T 123
ABC
Hizi ukizkcomand kwenye sytem ziwe random utapata namba nyingi mno ndugu
Ni kama vocha, tarakimu ziko kumi na kitu tu ila kila siku tunatumia milions za vocha na still hamna tatizo.

Hizi vocha hawajawahi kurudia ? Maana zile za mwanzo nnazo bado za mwaka 2003 ninazo
 
Nakuja sasa hivi kuwabishia ngoja kwanza nikae sehemu tulivu .
 
Yaan tuko kwenye D saiv... Mpaka kuja kufika Z n leo??? .. ha hazitofika mwsho kamwe... tunaweza anza na AAAA tena
DFP washafika mwisho..
Sasa hivi wameanza series mpya ya DFPA
Hata hizi za T, ikifiza ZZZ watanza series mpya usipaniki
 
hizo namba hatutoishi tuuone mwisho wake,hapa ubishani wa bure tu
 
T inamaanisha tanzania ukitoa itachanganya kujulikana ni ya nchi gani angalia namba za kenya malawa n.k zinaanza na herufi ya nchi zao
Umuhimu wa mtoa mada kama ameeleweka vizuri ilikuwa ni juu ya kuitimbua gari hii imesajiliwa mkoa gani, tusingefanya mambo ya ujumla kwa kila gari lianze na T kwa maana ya Tanzania tuu . kwenye mambo ya kiusalama na mengineyo hatufanyi mambo ya kiujumla tuu mfano wenzetu nchi za ulaya kwakuwa wapo kwenye European Union gari zinaanza na nchi, kisha jimbo ambako gari imesajiliwa ona namba ya gari hii (DE) HA 360 BBE, ikimaanisha DE=Deutsschland ,HA =Hamburg kisha 360 BBE.
 
Unapo Fanya uchambuzi wa mfumo gani utumike (Identification Code) lazima uhakikishe vitu hivi unavizingati.

1. Mfumo wako unataka uwe na muda gani bila namba kujirudia.

2. Mfumo wako lazima ubebe taarifa , mfano nikisoma namba ya gari nipate taarifa Fulani za gari, sisi hapa utakuta rangi ndio zinatumika.

na mengine mengi.

nikianza na hill kwanza , nimeshtuka sana kuona hadi sasa tumesha anza kutumia namba za DKX XXX INA maana miaka michache ijayo itabidi tunaanze upya maana namba zitakua zote zimesha tumika.

Je aliyependekeza mfumo wa namba za magari alikua anafikiria jambo hili?
Nadhani unajichanganya tu

Hebu propose huo mfumo unaoutaka
 
Umuhimu wa mtoa mada kama ameeleweka vizuri ilikuwa ni juu ya kuitimbua gari hii imesajiliwa mkoa gani, tusingefanya mambo ya ujumla kwa kila gari lianze na T kwa maana ya Tanzania tuu . kwenye mambo ya kiusalama na mengineyo hatufanyi mambo ya kiujumla tuu mfano wenzetu nchi za ulaya kwakuwa wapo kwenye European Union gari zinaanza na nchi, kisha jimbo ambako gari imesajiliwa ona namba ya gari hii (DE) HA 360 BBE, ikimaanisha DE=Deutsschland ,HA =Hamburg kisha 360 BBE.
sio lazima kufuata hilo
 
Ushauri, namba ziwe vile vile ila kila mkoa plate namba yake iwe na rangi yake, ile mikoa ambayo watu hawaipendi ushuru wa kuingiza gari uwe chini sana ili kurahisisha maendeleo mikoani, na gari likija mjini liwe na kibali maalum.
 
Hivi kwa nini watu wanabishana hapa? Mathematically numbers continue endlessly(to infinite)
 
Back
Top Bottom