Aliyebuni mfumo wa namba za Magari alikosea

Aliyebuni mfumo wa namba za Magari alikosea

System itabadilika namba hizo zikiisha. Mfano miaka ya 80/90/2000s Uk walikuwa wanatumia alphabet mfano T334 BFG hapo T ni gari zote zitakazosajiliwa mwaka huo T ilikuwa 1999.
V,W,X,Y zilimalizia 2000-2001 mwanzoni. Herufi tatu za mwisho random, namba pia random.

Baadae wakahamia mfumo mwingine LN01 XYZ
LN inawakilisha mji gari iliposajiliwa, 01 mwaka 2001 mwanzoni, xyz random au LN51 XYZ 51 ni 2001 mwishoni.

Hii ilikwenda hadi 2010 ambapo ikaja system tofauti kidogo tu mfano LN10 XYZ hio 10 ni 2010 au LN60 XYZ hio 60 ni 2010 mwisho inatumika hadi leo.

Kwahio mifumo ya namba inaenda ikibadilika huwezi kuweka mfumo uka last forever.
 
Unapo Fanya uchambuzi wa mfumo gani utumike (Identification Code) lazima uhakikishe vitu hivi unavizingati.

1. Mfumo wako unataka uwe na muda gani bila namba kujirudia.

2. Mfumo wako lazima ubebe taarifa , mfano nikisoma namba ya gari nipate taarifa Fulani za gari, sisi hapa utakuta rangi ndio zinatumika.

na mengine mengi.

nikianza na hill kwanza , nimeshtuka sana kuona hadi sasa tumesha anza kutumia namba za DKX XXX INA maana miaka michache ijayo itabidi tunaanze upya maana namba zitakua zote zimesha tumika.

Je aliyependekeza mfumo wa namba za magari alikua anafikiria jambo hili?
Kwa akili hii, bilashaka kwenye somo la hesabu ulitaga yai...[emoji12]
 
Muweka mada atusaidie permutation yake, ni magari mangapi yatasajiliwa mpaka tufike T999ZZZ
 
Mm vitz yangu in DAC ......ilisajiliwa mwaka 2012 sasa fikiri mm nimeuziwa mwez uliopita ...mpaka kufika DZZ si leo mkuu na Ikiisha itaanza EAA..usiwe na shida
 
Watu wengine munamisifa!!!kutuharibia muda wa kupanda maharage tuu.haya anzisha namba zako ukute gari lenyewe hunaa![emoji57][emoji57] kaz kusoma tu plet namba za watu xuuuu
 
Dah.... Kwa nyuzi hizo hapo juu..... ni ushuhuda tosha kama wengi mlitaga kwenye hisabati.... Hakuna anayesema kuna magari mangapi yatasajiliwa kati ya T101AAA hadi T999ZZZ....ukifuata vigezo.... Mmebaki kupiga pereteperete tu majibu hamtoi wakati ni hesabu za form 2... Aibu kubwa[emoji87] [emoji87] [emoji13]
 
Kwa akili hii, bilashaka kwenye somo la hesabu ulitaga yai...[emoji12]
makuu , hata kama Nina bashite, naomba nipe calculation zako hapo... tafuta kwanza rate ya kuingia kwa magari na uongezeko la uingiaji wa magari kwa kila mwaka . Najua hukupata bashite kwenye namba..
 
Mfumo uko vzr tu,
hayo mambo ya mikoa ya nn tena wakati waTZ woote tunaruhusiwa kutembea mahali popote bila bugudha, au unataka nikija Dar nikonekane wakuja?? tunabanana hivihivi

halafu namba zikiisha mfumo utaanza changanya namba na tarakimu i.e zikifikia T 999 ZZZ, then inayofuatia itakuwa T11A 1AA, hapo utakaa hata miaka 200
 
Mm vitz yangu in DAC ......ilisajiliwa mwaka 2012 sasa fikiri mm nimeuziwa mwez uliopita ...mpaka kufika DZZ si leo mkuu na Ikiisha itaanza EAA..usiwe na shida

Aiseee, umetisha namba DAC mwaka 2012! Kha?​
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wadau leteni mabishano yny uhalisia
 
Kwa maoni yng "mfumo wa plate # wa sasa ni mzur" na unakidhi mahitaji ya nchi kwa sasa.

Mfano: T100 AAA mpk T999 AAA kuna magar 899.

T100 AAB mpk T999 AAB kuna magar 899.
 
Huu mfumo una uwezo wa kusajili magari 9x10x10x26x26x26 = 15 818 400. Tanzania kwa sasa sijui kama magari yanafika laki tano! Mtanisahihisha
 
Mimi hata sielewi unachokosoa. Ukumbuke kuwa mfumo huu ulihamiwa kutoka wa zamani, kwa hiyo magari mengi yaliingizwa kwa pamoja kutoka namba za zamani kuja mpya. Pili, hapo awali piki piki nazo zilisajiliwa kwa namba hizi hizi, lakini sasa piki piki zimeondolewa kwa hiyo kasi ni ndogo.

Tangu namba DAA ianze ni miaka sasa maana nina gari natumia imesajiliwa namba DCW mwaka 2014 na hapo namba ziliwahishwa na boda boda...hebu kamalizie usingizi ukirudi utajua kuwa DZZ yenyewe tu itatuchukua miaka sembuse ZZZ.

Wewe gari lako litasajiliwa T 999 ZZZ ufurahi
DAA peke yake mpaka iishe magari 999 alafu uje DAB tena 999 alafu uje na DAC tena 999 hapo mpaka ufike DAZ uanze DBA,
 
Mchina ni noma sio mtu mzuri angalia namba C alivyo ipelaka chap chap sasa hivi na D itamaliza miaka 4au 5 kwamaana sasa hivi D iko inakalibia miaka 3
 
T.(1-999 )AA(A-Z) =25,974
T. (1-999)A(A-Z)A=25,974
T. (1-999)ZZZ........=25,974x2x26
=1,350,648 Nos.
Mfano kila mwaka zikisajiliwa gari 5000Nos. = ni Sawa na takribani miaka 250.
Hivyo 2017+250=2267 ijayo ili tupate T999ZZZ.
Tarakimu tatu ni namba 900 na si 999 uliyotumia
 
miaka 20 ijayo haifiki tutakua tumesha maliza.
Mfumo huu ulianza 2004/05 mpaka sasa ni mwaka wa 12 huu nando tupo herufi D. Herufi D ni ya 4 kati herufi 26 za alphabet. Hapa maana yake hata robo hatujafika. Na Ukumbuke wakati mfumo unaanza magari yote yaliyokuwa kwenye mfumo wa zamani yaliingizwa kwa mkupuo kwenye mfumo huu. Sasa kama mfumo umedumu kwa miaka 12 hata robo haujawa exhausted, mpaka ije kufika ZZZ itakuwa ni miaka mingapi? Na tangu 2016 kasi ya kuingiza magari imepungua sanaa. Hatujui kama itakuwa hivi kwa miaka mingapi ijayo. Huu ni mfumo bora sana tu.
 
Umeongea jambo jema sana kiongozi, ijapo utapingwa na wengi ila ilikuwa muhimu sana kujua hiyo gari imesajiliwa wapi sio gari zote zianze na T
Mfano ingekuwa T(DA 360 BBE)au T (MO 360 BBE) au T (KI 360 BBE)
Hapo ingekuwa inatambulika kuwa gari hii ya Dar, moro au Kilimanjaro
T inamaanisha tanzania ukitoa itachanganya kujulikana ni ya nchi gani angalia namba za kenya malawa n.k zinaanza na herufi ya nchi zao
 
Back
Top Bottom