Aliyebuni mfumo wa namba za Magari alikosea

Aliyebuni mfumo wa namba za Magari alikosea

Unapo Fanya uchambuzi wa mfumo gani utumike (Identification Code) lazima uhakikishe vitu hivi unavizingati.

1. Mfumo wako unataka uwe na muda gani bila namba kujirudia.

2. Mfumo wako lazima ubebe taarifa , mfano nikisoma namba ya gari nipate taarifa Fulani za gari, sisi hapa utakuta rangi ndio zinatumika.

na mengine mengi.

nikianza na hill kwanza , nimeshtuka sana kuona hadi sasa tumesha anza kutumia namba za DKX XXX INA maana miaka michache ijayo itabidi tunaanze upya maana namba zitakua zote zimesha tumika.

Je aliyependekeza mfumo wa namba za magari alikua anafikiria jambo hili?
Hoja yako haina mashiko! Wewe ni mmoja wa vilaza walio hai... Kazi yako ni kutujazia sever tu wakati hata baiskeli yenyewe huna! 🙁🙁

Mfumo wa namba ni nzuri sana D inatumika mwaka wa tatu sasa mpaka tufike z si Leo mkuu

Siyo leo unamaanisha hadi miaka 50 ijayo au wewe siyo leo yako ni miaka 10 tu ijayo?
Na wewe jiongeze bwana,, vijana wa siku hizi mbona mnakosa uwezo wa kujiongeza? Wewe unaona tangu 2004 (miaka 13) bado tunahangaika na alphabet ya 4 tu sasa hiyo ya 26 tutaifikia leo? Basi hebu gawa mafungu ya alphabet 4 x 4 uone kama haijagonga miaka 50!!

Hesabu za uhakika ni kuwa
Herufi moja

Mfano T AAA 101 mpaka T AZZ 999. Hapo kuna magari 517,824

Kwa maana hyo kwa kuwa wanaeruka herufi I na O

Mfumo mzima utabeba magari 517,824 X 24

Ambayo ni sawa na magari 12,427,776

Magari MILIONI KUMI NA MBILI LAKI NNE ISHIRINI NA SABA ELFU MIA SABA SABINI NA SITA...

U kitest gari elfu 10 kwa mwaka itakuja miaka 1200 na zaidi so had ziishe tutakua wote humu tushakufa

Duu,, mkuu hapa huja exaggerate kweli? Miaka 1200? Dunia hii yote itakuwa haipo kabisa! Wataalam wa probability si watusaidie hapa ili tuwe na uhakika kwamba kwa alphabet 1 tunakuwa na magari mangapi? Ila kama hesabu yako ni sahihi basi ni hatareeeee!! Mimi hesabu yangu rahisi ningegawa tu hizo herufi 24 zinazobaki kwa 4 (miaka 13) hivyo napata mafungu 6 ya nne nne, hivyo natoa fungu 1 ambalo tayari limeshatumiwa na herufi A mpaka D (miaka 13) yanabakiwa mafungu 5 ambayo nayazidisha kwa 13 inanipa miaka 65. Hivyo kwa hesabu rahisi ya darasa la 7 tutamaliza herufi hizo kwa miaka 65 ijayo!! Siyo leo na wote tuliomo humu tutakuwa hatupo!

Mkuu hesabu ipo sawa hyo jumla ni magari milion 12 na ushee sasa nimetoa mfano tu ka kwa mwaka gari elfu ss sijui zinakuaga gari ngapi kwa mwaka

Let me implement my very limited knowledge of mathematics.
The format is T 999 XXX

Tuna possibility ya kuwa na namba 100 - 999. Sijawahi kuona T 099 XXX. I stand to be corrected.
Hivyo kimahesabu tuna namba tofauti 999 - 100 = 899

X stands for alphabetic characters except O and I -> 24 letters
Out of the 24 letters, 3 can be arranged in format XXX.
Kupata the total possible number of XXX arrangement ni 24*24*24
The result: 13,824 arrangements (from AAA to ZZZ)

Kwa kila namba kati ya 100-999 tuna combinations za herufi 13,824.
Kwahiyo total number of T 999 XXX combinations ni 899 * 13,824 = 12,427,776

Hivyo basi, mfumo huu wa usajili unaweza kuhandle jumla ya vyombo 12,427,776 (Milioni kumi na mbili laki nne ishirini na saba elfu mia saba sabini na sita).

Tangu mfumo huu uanze kutumika mnamo mwaka 2005 tumekwisha exhaust combinations through T 999 DZZ (Assumption). Tujaribu kuangalia ni vyombo vingapi vimekwisha sajiliwa.

Arrangements kati ya AAA - DZZ. Hi ni A(AA-ZZ) B(AA-ZZ) C(AA-ZZ) D(AA-ZZ).
Kila (AA-ZZ) combo ina possibilities 24*24 = 576
Hivyo kwa A mpaka D ni A(552) + B(552) + C(552) + D(552) = 4 * 576 = 2,304
Jumla ya vyombo = 899 * 2304 = 2,071,296

Hivyo nasi, kuanzia T 100 AAA mpaka T 999 DZZ vyombo 2,071,296 vimekwisha sajiliwa. Mind you kuna pikipiki na bajaji zilizokuwa zinakimbiza sana namba.
Hii ina maana kuanzia T 100 EAA mpaka mwisho wa mfumo, magari 10,356,480 yanaweza kusajiliwa.

Imetuchukua miaka 12 kusajili vyombo 2,071,296. Je, tukitoa pikipiki na bajaji, itatuchukua miaka mingapi kusajili vyombo 10,356,480?? Data zaidi zinatakiwa. Kama kuna mwenye gari DAA atuambie ilisajiliwa mwaka gani tujue ni muda gani umepita.

N.B Wataalamu wa hesabu tafadhalini sahihisheni logic yangu. Jibu hili sio definitive.
Bashite hii post hasogelei [emoji23] [emoji23]

Back
Top Bottom